a GHALA LA SILAHA LALIPUKA CYPRUS, HUSEIN MWINYI WAO AJIUZURU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

a GHALA LA SILAHA LALIPUKA CYPRUS, HUSEIN MWINYI WAO AJIUZURU.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Khakha, Jul 11, 2011.

 1. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi kwa jinsi wenzetu wanavyojua kuwajibika kutokana na uzembe unaotokea chini ya mamlaka zilizo chini yao, waziri wa ulinzi wa cyprus costas papacostas amejiuzuru mara moja kutokana na kulipuka kwa ghala silaha kali. Mlipuko huo umeharibu hadi kituo cha umeme na sasa ni giza kama la uwanja wa taifa jana. Yakhe hussein mwinyi upo? Au unawaza urais 2015.
   
 2. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na mkuu wa majeshi pia amejiuzulu!Hapa kwetu hadi leo hatujapata report ya mbagala!
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hapa kwetu walisema ni mapenzi ya mungu, ndio maana hawaoni sababu ya kuwajibika.
  Labda mungu wao ana malengo ya kuua watu kwa njia ya mabomu.
  Alafu walisema tusiangalie tu mabaya, tuangalie mazuri waliyofanya.
   
 4. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hapa kwetu walisema ni mapenzi ya mungu, ndio maana hawaoni sababu ya kuwajibika.
  Labda mungu wao ana malengo ya kuua watu kwa njia ya mabomu.
  Alafu walisema tusiangalie tu mabaya, tuangalie mazuri waliyofanya.
  Zaidi watasema kuna watu wa upinzani ndio wamesababisha.
   
Loading...