Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mwanasheria MKuu karipotiwa na gazeti la Nipashe ya kuwa Chadema kumkacha JK pale Bungeni hawakuvunja sheria ila walikosa ustaraabu..........................
Kauli hii imekuja imechelewa kwa sababu muda umepita sana.................Hili lanipa wasiwasi ya kuwa pengine A.G hajiamini na alikuwa akisubiri kupima upepo kabla ya kutoa ushauri wake wa kitaalamu........................Jingine la kujiuliza ni ............Why now........................kwa sababu hakuna aliyetafuta ushauri kutoka kwake katika sakata hili tajwa.................
Labda A.G angelikuwa mwenye msaada zaidi kama angelitoa ufafanuzi juu ya polisi kuwazuia Chadema kufanya mikutano yao ya kuwashukuru wapigakura na kuwaelezea yaliyowasibu katika kura za Uraisi.....................Hili ndilo eneo ambalo ushauri wa A.G unahitajika lakini usishangae akakaa kimya kulinda ugali wake...........