A friend of mine forgot to attach his form four certificate

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
142
110
Moja kwa moja kwenye mada ...

Wakuu kuna rafiki yangu amefanya maombi ya mkopo.. kila kitu kafanya sawa .. vyeti vyote ameweka safi tu.. na form aliipereka posta kuituma.

Baada ya siku mbili amegundua kuwa alisahau kuattach cheti cha form four kwenye ile form iliyoenda posta.
anauliza eti hii inaweza kusaidika?

wakuu msaada wenu.

Mimi ni rafiki yake.. yeye hana smartphone ndo maana.

Msaada afanye nini ili mambo yawe sawa.
 
Karibu kwenye Hili kind utapata msaada

 
Majina yatatolewa kwa wale wenye mapungufu kisha wataambiwa warekebishe. Atulie tu atapewa nafasi nyingine
 
mkuu tufanyaje ili utuone.. tutume picha zetu au atume namba yake ya mtihani.. samahani lakin mkuu
hapo relax ...msubir muda watatoa majina ya waliokosea au waliosahau kuambatanisha vyeti na kila kinachohitajika.
so watatoa utaratibu pia jinsi ya kurekebisha hizo taarifa zenu mtaufwata. Kwa saiv just relax an cool down mkuu
 
hakuna sehemu ta ku attach cheti cha form four kwenye zile document unazoenda kutuma posta
 
siku izi una andika namba ya form four tu ,then matokeo yako yote wanayapata,kwaiyo mwambie aondoe hofu hakuna kipengele icho cha kutuma cheti cha form four kwa njia ya posta
 
Back
Top Bottom