A divoced man looking for seriouse single woman

Rahajipe

Senior Member
Oct 29, 2012
165
63
Mimi ni mwanamume niliye na miaka zaidi ya 40, ninaishi na kuendesha shughuli zangu hapa jijini dar. Nina watoto wawili wakubwa na ni mkristo. Tangu nimeachana na mke wangu nimekaa muda sasa nikiwa mpweke kiasi cha kutosha.

Kutokana na hali hiyo ya upweke sasa umefika wakati wa kuhitaji kupata rafiki ambaye naye; aidha ametendwa au anaishi maisha ya upweke kama haya ili tuweze kuliwazana. Mwenza ninayemhitaji anatakiwa awe na vigezo hivi:

Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea

Awe single au aliyeachika/kuzalia kwao na asiwe na watoto zaidi ya wawili.

Awe na ajira inayoeleweka mwenye maisha sio ya kuomba vocha ya Tsh 500!

Awe na elimu ya kutosha ambayo inampa ufahamu na utambuzi wa nini ni maisha!

Suala la kuzaa naye lisipewe kipaumbele sana bali liwe la mjadala wa baadaye.

Suala la dini lisiwe kizingiti sana, cha msingi ni uamzi wa hiari wa mtu mwenyewe.

Asiwe mnene wala mfupi, awe mwembamba na urefu wa kuanzia futi 5 na kuendelea.

Rangi si kigezo bali cha msingi isiwe mkorogo NO!

Awe anaishi maisha ya kujitegemea.

Awe ni mtu mwenye uwezo wa kufanya maamzi ya kimaendeleo hata akiwa peke yake

Nina imani kuwa kupitia jamvi hili nitampata Yule aliye chaguo langu la kweli ukizingatia kuwa kuna wengi wamepitia humu na wameweza kuwapata wenza wao na maisha yao yako vizuri.
Kwa Yule ambaye yupo serious na anaona kuwa tunaweza kufikia ndoto hii, naomba ani PM tu nami nitafanya mawasiliano naye.

TUONGOZWE NA UWEPO WA MUNGU KATIKA HILI

UTANI SITAKI KATIKA HILI.
 
asilimia 95% ya vigezo vyote ninavyo tatizo nina 40yrs nitakufaa?
 
40years you are in the target, ndiyo maana nikasema kuanzia 30 na kuendelea. if you don't mind join me we wanna talk.
 
Naomba nijibu kwa ujumla kuwa baadhi ya maswali mliyouliza ni ya msingi sana, ila anayestahili kujibiwa ni yule atakayekuwa amejitokeza kuungana na mimi. Na kwa ufupi mimi sijafiwa na niliyeachana naye yupo anaendelea na maisha yake. Tofautisha kufiwa na kuachana.
 
Umenifanya nirudi nikaiangalie tena avatar yake. Mh! Halafu anataka serious single woman. lol

hahha tena eti anatete,a man of 40yrs?imagine ndo baba wa watoto wako.si bora ungeweka hiyo ya paka tujue unapenda paka sa unafikiri hiyo uliyoweka inawakilisha nini?nakushauri kwa vile we Mkristu tilia maanani ushauri wa Azote.
Maana hamna guarantee utakayempata atakuwa better kuliko uliyekula nae kiapo.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh divorced hawana upendo wa kweli...wanakuwa busy na maisha yao na watoto wao....
 
kwahiyo avatar huwez kupata mtu serious manake hizi katuni muda mwingne zinasadifisha tulivyo
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom