Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,609
- 1,771
Mkuu so your issue is personal, with Fatuma Karume. Hujachangia hoja iliyopo. Matusi uliyomtukana huyo dada hayabadilishi kilichoandikwa. Mchango wako ungekuwa wa maana kama ungeeleza kama kwa nini unafikiri hii habari hakuzungumzia ukweli au kama ni kweli nini kifanyike. Nilfikiri JF ni jukwaa la GT, mahali tunapo eleweshana na kujifunza. More over mkuu throwing insults tend to show you civilization level and the level of your intelligence.
Leave him alone; he is a hoodlum.