A day in the Buddhist college

Tuendelee na simulizi
Chuoni tulikuwa na nyakati za furaha pia
Siku za Jumapili kwakuwa ilikuwa kama visiting day tulipata wageni wengi sana na chakula kilikuwa kizuri
Jumatatu pia kwakuwa ndio siku ya mapunziko
Tukialikwa kwenye matamasha na mashindano ya martial arts
Lakini cha Ajabu kuliko zote ilikuwa tukialikwa kwenye misiba

Huko kulikuwa kuzuri Sana kwakuwa baada ya kumchoma marehemu(cremanation) tuliandaliwa misosi ya maana Sana, Yani tulikuwa hatuoni soo kabisa kuiandaa maiti mwanzo mwisho mpaka kuichoma moto kishapo kwenda Kura as if tuko kwenye Sheree.... Binafsi nilichoma zisizopungua 20. Naomba niseme tu Kwamba sikuwa na hisia zozote juu ya wale marehemu

Chuoni pia tulikuwa na likizo na kipindi cha likizo tulipelekwa sehemu mbalimbali kutembea kama watalii kabisa! Nimetembea nchi na miji mingi sana kwasababu ya hiki chuo

Kuna thread nyingi nimesimulia sana kuhusu wafu mochwari na maiti ni kupitia chuo hiki ndio nilijifunza yote hayo kwa nadharia na kwa vitendo! Mochwari ni sehemu inabeba mambo mengi ya kuogofya mno ya kutisha kushangaza lakini pia sometimes kuchekesha

Kwa mfano siku moja nikiwa session mochwari ililetwa maiti moja ya like ikiwa almost uchi ikikamilika Kila idara sasa wakati inafanyiwa utaratibu wa kuwekwa kwenye barafu ilalazwa pembeni mwa maiti ya kiume nayo ikiwa uchi kabisa.... Aisee hivi mnajua ile maiti ya kiume ilidindisha?
imenibidi nicheke tu
 
Hiyo maiti inadindisha wakati haina uhai... How is it possible mkuu??

Huwa napenda sana kufatilia post zako tangu nimejiunga na jf!! Ningependa kujua mengi sana kuhusu hizi natural powers.
Haya mambo yapo sana
 
Naamini yapo na huwa nafatilia kwa karbu sana na hata kuperuzi mtandaon lakini mwisho wa siku naona yananichanganya tu... Ila nikipataga muda huwa napenda kusoma hizo makala.
Jikite kwenye kusoma zaidi na kutafakari kwa kina utafunuliwa mengi
 
Hapana ningekuwa upande wa imani yangu ya asili kwakuwa sikuwahi kuiacha
Kama ulikuwa bado hujaacha imani yako ya kikristo je ulivyokuwa kwa tample za kibudha ulikuwa unasali na kumwamini yesu Siku zote? Au ulivua kwa muda wewe ni kushant tu?
 
Kama ulikuwa bado hujaacha imani yako ya kikristo je ulivyokuwa kwa tample za kibudha ulikuwa unasali na kumwamini yesu Siku zote? Au ulivua kwa muda wewe ni kushant tu?
Chant nilifanya mdomoni rohoni niliimba mapambio na nyimbo za kuabudu... Kama kuna kipindi nilikuwa karibu na Mungu basi kilikuwa kipindi hicho
 
.
IMG-20190317-WA0029.jpeg


Jr
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom