A day in the Buddhist college

Dah hii topic nliitafta sana, nmesoma yoote,asante Mshana napenda kujfunza mambo mengi yaliyofchwafchwa dah , naomba unitag kweny Uzi wako wa zmebaki story
 
Hahahaaa! Those days in black rob kila Jumapili, i miss chanting na kupiga 'linku'. Anyway!, ni kweli, kuna Chinese wamepata eneo maeneo ya Salasala. Wana project kubwa ya kujenga Buddhist temple na chuo cha kufundisha Buddhisim. Ni mchepuo wa 'Mahayana' kama pale Bronkhorstspruit, South Africa. Ila habari njema zaidi ni kwamba wana center yao old Bagamoyo road, karibu na Nyerere house, nxt to Baraka house. Hapo kwenye hiyo center wanatoa huduma mbalimbali na service au ibada za kila Jumapili. Kwa sasa nipo Mbeya, ila nadhani Mkuu Mshana Jr anaweza fika pale Old Bagamoyo Road 'ku-chant' na akaja na habari chanya zaidi.
 
memories die hard... Siku hizi niko Msata kilingeni nimejikita zaidi kwenye ushirikina... Yaani utafiti na kutoa elimu... Ila nipatapo sitaacha kwenda

Jr
 
Hujachelewa mkuu. Kwenye Buddhism tunaamini kwenye 'causes' na 'conditions'. Ndiyo maana Shakyamuni Buddha akatufundisha kwamba 'Buddhisim is not for everybody'. Hivyo basi you are just on time.
 
View attachment 276791hii alama ni ya kibuddha ikimaanisha milele kwa maana ya eternity- in the impermanence au impermanence in the eternity lakini Adolf Hitler alikuja kuichakachua na kuiweka hiviView attachment 276793kwahiyo watu huwa wanazichanganya sana na hii ya Hitler ndio ilikuja kuwa maarufu sana
View attachment 276794 hii nayo inatumika sana kuelezea kitovu cha kitu, vitalpoint , heart n soul mbingu na dunia inatumika hasa kwenye yoga tai chi na baadhi ya practice za meditation
CC : Zurri
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom