A day in the Buddhist college

Nashukuru kuniita naomba kujua Chuo kipo wapi!?.. Milefo ni kitu gani?.. still hujaelezea maana halisi ya dini ya Buddhism!.
Labda kufupisha maelezo naomba kujua kupitia mafunzo uliyoyapata huko chuoni nini maana ya
  • Saṃsāra
  • Dukkha
  • Avidya
  • Karma
 
Nashukuru kuniita naomba kujua Chuo kipo wapi!? Chuo kiko South Africa mji uitwao Bronkhorspruit njia ya kwenda witbank..

Milefo ni kitu gani?.. Milefo ni future Budha.. Yani kuna reincarnation itatoa Buddha mwingine

still hujaelezea maana halisi ya dini ya Buddhism!. Ok

Labda kufupisha maelezo naomba kujua kupitia mafunzo uliyoyapata huko chuoni nini maana ya
  • Saṃsāra dwelling into the realm of cause n effect
  • Dukkha... Ni Maumivu
  • Avidya ni ujinga ignorance
  • Karma ni cause (conditions) n effect
 
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mambo ya Tripitaka: Vinaya, Sutra, na Abhidharma.
Shelizi, se bu yi kong, kong bu yi se,
kong ji shi se, se ji shi kong. Kitu cha 'shin jing' hicho (heart sutra). Hapo unagonga 'muyu' kama huna akili nzuri vile.
Kwenye hiyo picha kama sikosei yule kule mbele ni "mzungu f@la".
Ila wacongo waliharibu sana, mpaka waafrica wote tukaonekana siyo.
Mkuu ulimaliza nyundo tatu???
wakongomani walifanyanini mkuu.......
 
Mshana hivi kwa hapa Tanzania masomo haya yanapatikana kweli?!!
Na kama hakuna huoni hii ni fursa kwako?
Niko kwenye mchakato na mpaka sasa andiko mradi linatengenezwa ila changamoto ni nyingi
 
Back
Top Bottom