Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,500
Waswahili wanasema, kimya kingi kina mshindo mkuu! Wacha tuendelee kumsubiri Mzee MwanakijijiRumour has it, mpaka leo Mzee mwanakijiji anasubiriwa kuunganisha dots za uzi alioanzisha. 🤣🤣🤣
Ngoja tuone.