The original
Member
- Apr 13, 2020
- 30
- 19
Hee nani kakwambia mungu aliyachagua maeneo yale bro?si kweli wangu wala sidhani Kama mungu ana wivu wao wametupotosha kuamini mungu wao na wala mungu hakuchagua maeneo yale mungu yupo popote na ukimuomba popote anakusikia sio lazima uende huko!km angewachagua wao angewaweka ktk eneo lililo zuri na kila kitu.angalia hali ya hewa ya huko na africa wapi bomba kisha ujijibu mwenyewe wapi ni wapendwa wake cc au wao?tunaishi nao km wenzetu pamoja na mabaya yoote waliotufanyia km sio hekima ni nini wao wangewezaa?sisi sio wajinga kamwe ila hatujui uovu tunafundishwa na wao kilazima so many things to talk about hii mada ila the good thing is waafrica tumeanza kuamka look at u for eg..sisi ndio wana wa mungu..mchukue mtoto wa kiafrica na kizungu wape malezi sawasawa kisha tazama nani atakuwa bora kati yao interms of everything akili,nguvu,afya na kila kitu sisi ni bora kuliko wao mfano who is the best athlete,singer,footballer,boxer,tumewapita kila kitu isipokuwa wametuzidi roho mbaya,chuki,na fitna