A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Bila kuathiri majibu ya watu wengine, sababu ya ziada ninayofikiri ni kwamba inawezekana Wazungu walikuwa na shida nyingi kuliko Waafrika. Kabla hawajagundua teknolojia watu wao wengi walikufa kutokana na mazingira magumu ya kuishi, ikiwa ni pamoja na baridi kali, njaa, magonjwa nakadhalika -- yaliyotokana na jiografia ya nchi zao. Ilibidi watumie akili za ziada kuishi. Wakajikuta wanatoka 'nje ya box' hadi kufika kwetu. Kwa upande wetu huku Africa, Mungu alitupendelea sana kwa raslimali nyingi, hali ya hewa nzuri n.k. ikawa huhitaji kutumia akili nyingi sana 'kusavaivu' Afrika. Tukabweteka. Bahati mbaya sana tunaendelea kubweteka hadi leo.
Nadhani uko sahihi, lkn kabla hatujalinganisha afrika na mzungu, hebu fikiria maisha ya kijijini kwenu na mjini kwanin watu wanaishi nyumba za udongo miaka nenda miaka rudi, hivi kutengeneza tofari lile la udongo na kulichoma kunahitaji teknolojia kubwa, je fundi ujenzi anahitaji malipo makubwa kweli? ukitafakari hilo kwa kina utagundua wa afrika ni wavivu sana wa kufikiri.Fikiria kwann tununue nguzo za umeme south Africa, kwann tununue njiti za meno china, kwanin tununue chanuo/kitana china, kwanin tununue kijiko, mwiko kutoka china?
 
Huko ndio kubweteka kwenyewe sasa. Watu wetu wameridhika kuishi maisha ya shida, maisha ya kutokuthubutu, hatutaki kutoka nje ya box tunataka kubaki humo hadi 'mwisho wa dunia'. Wazungu walithubutu. Na huwezi kuzungumzia maendeleo bila kulinganisha.
 
Hoja ya mleta mada ni ya msingi sana. Na inafikirisha.

Tangu tupo shule tumekuwa tukiambiwa sababu za waafika kutokuendelea kuwa ni Wakoloni ndio walisababisha. Na ukihoji mbona wao walishaendelea kabla ya kuja Africa ndio majibu haya kuwa mazingira yao hasa hali ya hewa ndiyo yalichangia.

Haya, tukiangalia sasa baada ya hao wakoloni kuondoka je lipi jipya tumefanya au kugundua na ni kwanini hakuna jipya, SASA HIVI LAWAMA ZINAELEKEZWA KWA SERIKALI .

Binafsi naamini utofauti uliopo sio ktk rangi tu bali hata KIAKILI, TUKUBALI TU.
Najua wapo watakaosema mbona tukiwa darasani na hao wazungu huwa tunawaburuza. Akili ninayoiongelea ni ya kugundua kitu kipya na sio yakufundishwa kilichopo.

Chunguza Tabia na Akili ya mtu Mweusi yeyote duniani hapa utakuta zinafanana tu.Si Wamarekani weusi waliozaliwa karne nyingi huko wala Mzigua au Mjaluo wa Kenya
 
saafii kabisa mkuu@
 
rafiki umeandila kwa ustadi wa hali ya juu
 
Nawaza tu vitu Kama vile meli ndege na vinginevyo vilivumbuliw miaka ya 1807 huko wakati sisi tuna ambiwa miaka ya 1880 tulikuwa tunavaa magome ya miti sasa tungemtawala vp mwenye akili kutuzidi
 
Nilikuwa naangalia ujenzi wa flyover hapo ubungo, nikakuta kamchina kamoja kasicho na elimu yoyote kanamfundisha kazi mtanganyika mwenye degree ya Ardhi University.

Kama kilaza wa china anaweza kuwa mwalimu wa "msomi" wa Tanganyika, what do you expect?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vyeti walikuwa navyo hapo darajani?
 
Nafikiri waafrika wakati huo hawakuwa na malengo ya namna hiyo!
Shughuli zao zilitosha kujikimu ila pia ni wazi kuwa wazungu walikuwa mbele zaidi yetu!..
Ufinyu wa mawazo ya mzungu kwa wakati ule uliona ni sahihi kuutumia ujinga wa mwafrika kujinufaisha!
Hii inazihirisha walikuwa kimkakati na walituzidi kimaarifa maana hata nguvu yetu ya kujitetea ilikuja kupambazuka zaidi baada ya mwafrika huyohuyo kuelimika kwa kutumia elimu ya mkoloni!..

Wasomi kama kina Julius nyerere ndio walikuja kupambazuka na kupigania uhuru wa mwafrika!.. hi haimaanishi kuwa hapo kabla walikuwa hawapiganii Uhuru no ila baada ya kupata elimu ndio kulileta mwanga zaidi..

Hata kama tulikuwa na mambo yetu lkn still mzungu alikuwa juu yetu kiteknolojia n.k
So ingekuwa tabu sana kwa mwafrika kumfanya mtumwa mzungu
Wee vp unaongelea Nyerere wa juzi, ubatakiwa kuvuta hisia kuanzia miaka ya 500 kurudi nyuma (500-0) hapo katikati Elimu, Dini, masoko, fedha tulikuwaje ukilinganisha mzungu.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?

Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?

Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?

HILI SWALI WADAU WENGI WANALIKWEPA
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?

NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
maisha ya Afrika hayakuwa ya taabu; kwa hiyo walikuwa wanajitosheleza kivyaovyao na hawakutaka kutafuta namna nyingine ya maisha. Taabu za maisha ya Ulaya ziliwafnaya wazungu wawe wanapigana wao kwa wao kunyangnyana raslimali na kutumikishana wao kwa wao kama mafungwa hadi wakafikia kugundua sila za moto na usafri wa majini wa harak kwende kushambuklia wenzao. Walipogundua kuwa Afrika kuna watu wengi sana ambao hawana silaha za aina hiyo ndipo wakatumia mwanya huo.. Ukisoma historia ya Ulaya utagundua kuwa hawakuwa na amani kwa muda mrefu sana kabla ya kuanza kuiteka Afrika. Na hata yale makubalinao yao ya Berlin ilikuwa ni mwendelezo huo huo wa kujaribu kuzuia wasije wakatwangana tena.
 
Bila kuathiri majibu ya watu wengine, sababu ya ziada ninayofikiri ni kwamba inawezekana Wazungu walikuwa na shida nyingi kuliko Waafrika. Kabla hawajagundua teknolojia watu wao wengi walikufa kutokana na mazingira magumu ya kuishi, ikiwa ni pamoja na baridi kali, njaa, magonjwa nakadhalika -- yaliyotokana na jiografia ya nchi zao. Ilibidi watumie akili za ziada kuishi. Wakajikuta wanatoka 'nje ya box' hadi kufika kwetu. Kwa upande wetu huku Africa, Mungu alitupendelea sana kwa raslimali nyingi, hali ya hewa nzuri n.k. ikawa huhitaji kutumia akili nyingi sana 'kusavaivu' Afrika. Tukabweteka. Bahati mbaya sana tunaendelea kubweteka hadi leo.
Hili ndio jibu sahihi
 
Bravo! Umewaza sana kwa sauti mkuu.. Hii ndo sababu pekee ya wao kutuzidi kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom