9th DECEMBER 1961 -9th DECEMBER 2010.(49years)...facebook ujumbe

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,374
2,000
ujumbe nimeusoma toka mtandao wa kijamii...FACEBOOK
Kaka ujinga na upumbavu si kutokwenda shule tu!
Unaweza ukawa na Phd kama Slaa au ukawa na Degree kama Zitto na ukawa mwanasheria kama Tundu Lisu bado ikawa ni bure kabisa ama pia ukawa mfanyabiashara na mjanja (mtoto wa mjini) kama Mbowe lakini wote wakakosa busara na kufanya mambo ya kijinga kama uongozi wa chadema un...avyofanya!
Usomi wao upo wapi ama unawasaidia nini kwa kususia masuala ya kitaifa?
Ndipo unaweza kucomnent kwamba Busara ni bora kuliko Elimu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom