Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kama report ya Refa wa mchezo kati ya Kagera vs Afrikan Lyon aikufojia either iwe ya ukweli au uongo basi Yanga fc watarudisha ubingwa
Sheria ya Fifa kuhusu report ya Mchezo
3. If there is any discrepancy in the reports from the various match offi cials and there are no means of resolving the different versions of the facts, the referee’s report is considered authoritative regarding incidents that occurred on the fi eld of play; the match commissioner’s report is considered authoritative regarding incidents that took place outside the fi eld of pla
Kwa Ku angalia Sheria iyo Report ya Refa inaangaliwa kwa maamuzi ya ndani ya Uwanja
Upande wa pili
Kama report ya match aikuwepo lakini imefojiwa kwa masilahi ya watu Fulani, basi kibao kitawageukia Simba sc watachunguzwa Rushwa wanaweza kushushwa Daraja,ivyo Report ya Refa itawabeba Simba sc