Ndio, ni dhambi kubwa.Watu wanajiendekeza sana,
hawataki kutimiza wajibu wao kama viumbe! Oeni!
Kuran na Bibilia.Mh!Kwa mujibu upi ni dhambi?
Kuran na Bibilia.
Kha! Hivi Kiranga ni illuminati?Mie natumia "Bibicheka" na kamwe si "Bibilia".
Bibilia kwangu dhambi kwani sitaki kumfanya bibi alie.
Usipochagua kuoa/kuolewa napo utakuwa umechagua wife/husband?
Kuran na Bibilia.