• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

95% ya Watanzania wamejua ADUI yao mkubwa ni CCM, wanataka MABADILIKO, za mwizi 40.

Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,525
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,525 2,000
Haya sasa... kumekucha...!!!

95% ya Watanzania, wengi wao tulioitwa Malofa, mapumbavu, mambumbumbu sasa WAMEGUNDUA ADUI YAO MKUBWA NA WA KUOGOPWA KAMA UKOMA NI CCM...!!!

Kwani wengi sasa hata wakikuona na NGUO za CCM utakiona mtaani...!!! Huwezi vaa nguo za CCM, mitaa yote ni kama wamemuona mwizi, kibaka kwa hasira na mayowe...!!!

WENGI wamehoji, CCM ilikuwa MADARAKANI kwa miaka 54.... sasa nani KAWAFANYA ASILIMIA 90% YA WANANCHI MALOFA, MAPUMBAVU...?

Jibu: ni CCM...

Wananchi sasa wamelijua kwa UHALISIA BILA KUHADITHIWA...!!!

OGOPA malofa, mapumbavu WAKIGEUKA, WAKIJUA UKWELI, kwani
watakugeuzia KIBANO cha maisha, sasa ndio hali ya CCM.... malofa, mapumbavu yamejua UKWELI....!!!

Kila mtu, ni MABADILIKOOOO.... Lowassaaaaaa...

Lowassaaaaaa.... mabadilikooooooooo..


Nimalizie kwa kusema, ADUI WA CCM ni CCM yenyewe, msitafute mchawi kokote.. wala kuhangaika na watanzania, WENYEWE CCM mmejimaliza... mlikuwa madarakani 54 yrs, YOU TOTALLY FAILED...!!! Hii nchi itawa laani kwa madhambi yenu...!!! madhambi yenu CCM ndio kaburi lenu..!!!!


Byee byeeeee CCM, to hell...!!! Inatoshaaa, utumwa basiii, basiiiiii...!!!

CCM out...!!!

Lowassa, UKAWA mpango wa MUNGU...!!!
 

Forum statistics

Threads 1,404,265
Members 531,541
Posts 34,449,068
Top