95% ya viongozi wa ccm wamepoteza mvuto mbele ya wananchi.

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
ukiangalia upepo uvumao sasa inaonekana wazi anzia rais wa Tz, mawaziri, wabunge wa ccm, wakuu wa W/mikoa, madiwani wa ccm na wenyeviti wa mtaa wamepoteza mvuto mbele ya wananchi na pale wanapo jaribu kusimama mbele ya wananchi kuongea lolote wanaishia kuzomewa na kupigwa mawe, na hii yote inatokana agumu wa maisha wanaousababisha wao kwa kufanya ufisadi na kunyanyasa wananchi, ushauri wangu: EWE KIONGOZI WA CCM JIVUE GAMBA KWA HIYARI YAKO ULINDE HESHIMA YAKO USISUBIRI HUKUMU YA WANANCHI.
 
Wahenga walisema "sikio la kufa halisikii dawa" hata wafanyeje, ccm haitafunguka macho mpaka itakapotoka madarakani!!!!!!
 
Back
Top Bottom