95% ya vijana wa sasa hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5. Vijana wa kike hali ni mbaya zaidi.

Kwa vijana wa kike hali ni mbaya zaidi, wao imefikia hatua sasa hata kuongea kiswahili wanaona aibu, wanaona kama wanadhalilika na kuona kua kingereza ndio hadhi yao
Duuuuu, umewapaisha kweli mkuu wewe uko nchi gani bana kuba. hawa watanzania hawa wasiojua kiingereza hawa, aibu tupu mpaka products za UDSM, ni aibu baba mzazi, hivi unajua UNGA watu wa udsm imewatoa kapa wamekwepa majukumu wanaogopa kutema yai pale japo la kusoma tu.
 
Back
Top Bottom