MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,684
- 5,011
Huyo kimombo haweki anaweka kisukumaBaba mwenye nyumba mwenyewe ndio anaongoza kukizika kiswahili, hawezi ongea maneno 20 bila kuchomeka neno la mkoloni.
Nafikiri tuko kwenye raiti trak.
Huyo kimombo haweki anaweka kisukumaBaba mwenye nyumba mwenyewe ndio anaongoza kukizika kiswahili, hawezi ongea maneno 20 bila kuchomeka neno la mkoloni.
Nafikiri tuko kwenye raiti trak.
Hii ndio aina mpya ya uzungumzaji wa vijana wa sasa.Probably leo ntakua off kwa hiyo unaweza kuja tuka arrange that matter.
Af don't forget kuja na ile workplan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakosea wapi.Mimi nalia na hawa waandishi wa habari za luninga na radio, ndio wanaongoza kwa kukibananga kiswahili...mfano imekuwa sasa ni mazoea kumsikia mwandishi wa habari wa radio au luninga au hata kusoma kwenye gazeti..mwandishi akiandika au kusema..." mwanamuziki fulani ametoa nyimbo mpya iitwayo SIZONJE"
Wanapokosea ni kutumia neno NYIMBO (hili humaanisha wingi) badala ya WIMBO (umoja)...kama wanasema au kuandika ametoa nyimbo ni lazima iwe ni kuanzia mbili na kuendelea, kama ni pungufu yaani moja ni WIMBO...sahihi ni kusema "ametoa wimbo unaitwa SIZONJE"
Hahahaaaaaa hao watu wa BukobaAnaweza akatokea mtu hapa akakwambia "SIO KWERI."
Tatizo hujui ... Bukoba hawana R, hawana n'g yaani kwa ujumla hawana matamshi ya kusumbua ndimi zao.Hahahaaaaaa hao watu wa Bukoba
you nou ofcoz,akchuare sikwenda.but nilicome back kupick watoto,na kuwadrop nyumbani.
aisee kama unaongea hivi popote ulipo kmayo.
yeah mtuvumilie tuu
Usipende kujumlisha watu sanaWATU WA ARUSHA NDIO KISWAHILI KILIWAPITA
unaficha nini sema tu Uislam unawaogopaogopa nini hawa, hata huko uarabuni hawawapendi, wanaitwa kaffir tu kama sisi. na wao walivo wNadhani kwa kuwa kiarabu kimefungamanisha na dini fulani ndio maana akapendekeza kiswahili.