95% ya vijana wa sasa hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5. Vijana wa kike hali ni mbaya zaidi.

Mimi nalia na hawa waandishi wa habari za luninga na radio, ndio wanaongoza kwa kukibananga kiswahili...mfano imekuwa sasa ni mazoea kumsikia mwandishi wa habari wa radio au luninga au hata kusoma kwenye gazeti..mwandishi akiandika au kusema..." mwanamuziki fulani ametoa nyimbo mpya iitwayo SIZONJE"
 
Wanakosea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa lakini mbona hiyo asilimia ni kubwa mno? Kama Kiswahili ni hivyo sijui Kiingereza kitakuwa hali gani. Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
Siwezi kuwalaumu vijana; nalaumu watunga sera kwa kuwa ndo hawana dira.
 
The problem is, u dont know what Swahili is made of. Swahili is a language that spontaneously evolved from Bantu languages, Arabic, German n English.
 
maneno haya katika sentensi huwa yananicha hoi!
1. Naniliu!
2. ziki badala ya Dhiki
3. Mesali badala ya methali
4 Form sreee badala ya form three
5. na jmengine mengi
ila kumi ni kiswangilish tena broken kwelikweli!!
' of course nita kuremind' mlitravel kwa usafiri gani? heheee na mengine meengi
 
I AM DUDUBAYA, THE MAMBA, KONKI KONKI KONKI MASTER, OILCHAFU HUWEZI KUICHAFUA.

Mfano mzuri.
 
Nadhani kwa kuwa kiarabu kimefungamanisha na dini fulani ndio maana akapendekeza kiswahili.
unaficha nini sema tu Uislam unawaogopaogopa nini hawa, hata huko uarabuni hawawapendi, wanaitwa kaffir tu kama sisi. na wao walivo w
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom