No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,737
Huu ndio ukweli mchungu,wapiga mizinga wengi sio kwamba wana shida sana hapana ila ni mazoea ambayo wamejijengea kuwa maisha yao hayaendi bila mtu fulani ndio maana akikuomba pesa leo ukimpa basi wewe ndio utakuwa kimbilio na shida za aina zote duniani atakumbia wewe mpaka siku utakapomchoka na usiposhtuka kila mwezi mshahara wako lazima mtagawana tu.