9 wamekufa kwenye maandamano Mbeya, mbona Polisi wako Kimya?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Mimi ni medical assistant hapa Mbeya, na leo nilienda hospitali ya rufaa kukutana na Drambaye ni rafiki yangu na alikuwa sehemu ya huduma ya haraka "casuality".
Nilipokuwa pale aliipokea miili tisa ya waandamanaji waliouawa kwa risasi, na nikaipiga picha na kesho nita upload picha hizo (kwa sasa natumia mobile devise).
Cha kushangaza polisi wamekaa kimya na hawasemi lolote, je hizo maiti tisa zilizouliwa kwa risasi ni za majambazi au waandamanaji? Na kwanini mmewapiga risasi za mgongoni na kisogoni hamkupiga miguu?
 
Mkuu, umeleta ii kitu mida ya saa tatu usiku,naona kama vile imenyofolewa, sasa umeleta tena.
Kama huwezi ku-substintiate hii claim kwa hizo picha basi itang'olewa tena.
Nimekwambia nitumie mimi.........you know my email bana!!! tuma tuweke hapa fasta.

Naona unatumia blackberry, huwezi kushindwa kunitumia kwa email hizo pictures.
 
Sorry, kumbe hautumii blackberry!!
 
Mkuu, umeleta ii kitu mida ya saa tatu usiku,naona kama vile imenyofolewa, sasa umeleta tena.
Kama huwezi ku-substintiate hii claim kwa hizo picha basi itang'olewa tena.
Nimekwambia nitumie mimi.........you know my email bana!!! tuma tuweke hapa fasta.

Naona unatumia blackberry, huwezi kushindwa kunitumia kwa email hizo pictures.

give me ur e mail address
 
Duh! tuwekee haraka tuzione. binadamu tumekuwa wanyama.. Loh!!
 
kama kuna ukweli kuhusu hilo tz nchi iliyokuwa ikisifika kwa amaani itakuwa imepoteza sifa kubwa duniani.nashindwa kutabiri nini kinafuata.
mungu bariki tanzania na watu wake.
 
Hakukuwa na amani yoyote. Amani Tanzania ilishapotea siku nyingi tangu pale wale (Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Lowassa, Magufuli na wengineo wengi) waliokabidhiwa madaraka na Watanzania walipoamua kutumia nyadhifa zao kujitajirisha wao, familia zao na marafiki zao wa karibu huku isadi kubwa ya Wananchi wakiishi maisha yaliyojaa dhiki kubwa.
 
hii ni balaa.dr fanya mpango wa picha.Mungu awalaze pema peponi walio kufa.mia
 
Miaka 5
ya umaskini,utajiri wa vi2 vya hasili wanayofaidi wa nchi za mbali na ukosefu wa amani tz.
 
naona ulipaswa ukae kimya mpaka utuwekee hizo picha,hawa jamaa hawachelewi kukunyofoa roho usiku wa leo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom