9/11: The biggest lie in history!

Judy...ukiona watu wanakwenda Nje ya Mada warudishe ktk mstari...ofcourse ni vigumu kuwadhibiti watu nini wachangie, yafaa kuzidi kuelimishana kila mara hadi hapo nafsi/moyo wa mtu/watu utakapobadilika.

Mtaalam. japo umepewa thanks na Judy, kimsingi ulichoeleza sicho. Niliposema watu wafuatilie kwanini US walikwenda kumsaidia UK kumtoa Hitler. Ukijua hilo consipiracy za sasa utaelewa nini kinafanyika Hivi LEO.

Pia Swali lako Rais wa US angekuwa mwislam si la msingi, either iwe wakati wa Churchhil au wakati wa BUSH.Serikali ngapi zinazoongozwa na baadhi ya watawala waislam zinawakandamiza waislam. Ukichunguzwa serikali hizi zipo zikitetea sera za AMRIKA.

Back 2 Mada. Je 9/11 ni kweli kama ilivyokuwa reported na Media za AMRIKA
 
Tatizo la baadhi ya watu wanaposikia kitu hukiamini moja kwa moja kwasababu tuu mioyo yao imeshajaa chuki kwa watu fulani.

Suali la 9/11 liliwashitua hata waislamu, wakijiuliza hivi ni kweli Muislamu anaweza kufanya hivi? labda walifanya kwa uhasama wao dhidi ya wavamiaji wa mali zao.?

Lakini katu halikupatikana jibu kutoka kwa Allah au Mtume wake kwamba waende wateke ndege na kufanya mambo hayo.

Lakini msemo wa waswahili: MUNGU HAMFICHI MNAFIKI

Na ni vyema wachunguzi wa mambo haya na walioyachambua hawakua waislamu bali ni Wakiristo. Mungu ashukuriwe. Ndio yale yale aliyosema Muhammad SAW: Mayahudi hawatoacha vitimbi vyao dhidi ya Waislamu mpaka kiama kitasimama. Tumuombe Mungu atujaalie amani katika makaazi yetu na atulinde na shari za Mayahudi na wanaowasupport Amin.
 
He. i tought tunajadili 9/11 kumbe ni Yesu. Makubwa. Mod iweke kwenye dini hii, naona ishaingia virus.
Hata sijui kama mnajua mnachokisema. Nilipowaambia kwanini mmeihamisha hii mada kutoka katika Dini na Imani, mkaja juu eh eti jazba. Sasa unaomba irejeshwe eh, nakuunga mkono kwa hilo.

to say the truth mada kama hii ni nzuri sana as ingeweza pata kuwa mdahalo mzuri saana na tungeweza jua mengi ziaid ya hata tujuayo as chini ya jua kila kitu ni possible...Mungu tu ndie anayejua ukweli wa kila kitu...

sasa kama mada hii ingeazishwa na mtu mwenye hekima nzuri na asiye na jazba na chuki na dini nyingine ndio ingependeza zaidi maana sioni kama ya relate na dini flani as kwa kusema kwa vile ni nchi fulani basi tuseme ni wakristo..sasa niwaulize swali nyie mshabiakiao topic hii kidini je wakati huo raisi wa marekani angekua mwislam mngesemaje??
msipende kila kitu mkakidrive mpendavyo nyie na kutaka kila mtu akubaliane nanyi...

ujue kuna watu wengine ambao wanajua mambo mengi kuhusiana na hili suala lakini kwa vile tuu imeanzishwa kidini na jazba na ki chuki basi mtu haoni hata umuhimu wa kuchangia..as always mabishano yakishahusu dini ama siasa...ikishatokea tuu watu wako pande mbili tofauti ni vigumu sana kuisha as kila mtu huamini kwake tu ndio bora
Ama kweli umelala. Umeziangalia hizo video lakini? Unaijua sababu ya kusingiziwa uongo Bin Laden na kutolewa video za uongo, na kwenda kuvamiwa na kupinduliwa uongozi wa Talaban? Au ulikuwa hupo duniani 2001 ilipotokea njama hizi za Mayahudi kule twin towers? Ndio uelewe kua kuna watu maalumu duniani MAFISADI hawaoni gharama kumuua hata ndugu yake ilimradi awaone waislamu wanadhalilishwa duniani. Usishangae kama wameweza kuwaua maelfu ya rafiki zao TWIN TOWERS washindwe kuripua katika markiti za Baghdadi na Basra kisha wasingizie eti Magaidi wa kiislamu.

Jiulize kwanini wayahudi siku ya 9/11 hawakureport kazi katika Twin towers?
 
Mtindio wa Ubongo jinalako lisicarry maana halisi...maana hatutaelewana.

Sitegemei mtu one-sided mind anielewe..wapo wengi wasionielewa ..hivyo wewe ukijichagulia hivyo hutakuwa wa kwanza..

Cheers..
 
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Qur'an 5:51

Hapa ndipo busara ya mungu wa kiislamu inapojionyesha kuwa ni finyu..
 
Ama kweli umelala. Umeziangalia hizo video lakini? Unaijua sababu ya kusingiziwa uongo Bin Laden na kutolewa video za uongo, na kwenda kuvamiwa na kupinduliwa uongozi wa Talaban? Au ulikuwa hupo duniani 2001 ilipotokea njama hizi za Mayahudi kule twin towers? Ndio uelewe kua kuna watu maalumu duniani MAFISADI hawaoni gharama kumuua hata ndugu yake ilimradi awaone waislamu wanadhalilishwa duniani. Usishangae kama wameweza kuwaua maelfu ya rafiki zao TWIN TOWERS washindwe kuripua katika markiti za Baghdadi na Basra kisha wasingizie eti Magaidi wa kiislamu.

Jiulize kwanini wayahudi siku ya 9/11 hawakureport kazi katika Twin tower
FUNNY! haya mapya tena jamani, what next? cjui mtasema Osama c muislamu, the man admitted of planning the attacks himself, plzz lets stop kiddin ourselves with this stupidity, au unaanza kupingana na mafundisho ya bro muddy, dont be ashamed of the teachings of the "holy quran" and for the record america haiwakilishi imani ya ukristo.
 
Haya ndiyo yanayoniudhi na Wengi wenu mnaojiita WAUMINI wa dini.

Hamna UUMINI wala nini, kila kitu kutukanana, kukashifiana na kila kitu mna ki-link katika dini na kukifanya NDIYO MWENYEZI MUNGU alivyosema.

Hivi BINADAMU hawakuumbwa na akili zao wenyewe na maamuzi yao wenyewe?! Inaudhi na kutia machungu watu wazima na waliopewa uwezo wa KUFIKIRI na Mwenyezi MUNGU wakiongea Namna hii.

SteveD.
 
Dini zote zimeanzishwa watu kama wewe na mimi na wengine wanazi update kwa malengo yao kila kukicha, hivyo msijidanganye!
 
FUNNY! haya mapya tena jamani, what next? cjui mtasema Osama c muislamu, the man admitted of planning the attacks himself, plzz lets stop kiddin ourselves with this stupidity, au unaanza kupingana na mafundisho ya bro muddy, dont be ashamed of the teachings of the "holy quran" and for the record america haiwakilishi imani ya ukristo.

mama Paroko....america sijui inasimama kwa nani naona Obama imebidi akaingie kanisani alazimishe Jamii imtambue rasmi kuwa yeye ni nani...Sijui ingalikuwaje Obama angesema hana DINI kabisa?...Bush alipoivamia Afghanstan na kuanza vita vya Ugaidi alisema hii ni Crusade War...itafute ktk google utaipata
 
Sitegemei mtu one-sided mind anielewe..wapo wengi wasionielewa ..hivyo wewe ukijichagulia hivyo hutakuwa wa kwanza..

Cheers..

Sijui wakati unachagua Jina ulikuwa unafikiria nini...Hio imewatia shaka wengi humu JF...wana JF wakidharau michango yako usikasirike...Hii haina tofauti na majina ya Hasara etc
 
'Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake. Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.' Matayo 10:34

Sijui hii busara isiyofinyu ya Mungu wa dini gani? tutahadhari na Wayahudi jamani, wamo JF pia. Maama mkiristo wa kweli ataangalia kwake kuna nini kwanza kabla hajatafuta kwa mwengine.
 
Tunarudi palepale, ngoja sa hivi nitie msisitizo, ACHENI KU QUOTE VIPANDE VINAVYOWAPENDEZA TOKA KWENYE BIBLIA. USE YOUR OWN QURAN FOR GOODNESS SAKE!
 
Hata sijui kama mnajua mnachokisema. Nilipowaambia kwanini mmeihamisha hii mada kutoka katika Dini na Imani, mkaja juu eh eti jazba. Sasa unaomba irejeshwe eh, nakuunga mkono kwa hilo.

Ama kweli umelala. Umeziangalia hizo video lakini? Unaijua sababu ya kusingiziwa uongo Bin Laden na kutolewa video za uongo, na kwenda kuvamiwa na kupinduliwa uongozi wa Talaban? Au ulikuwa hupo duniani 2001 ilipotokea njama hizi za Mayahudi kule twin towers? Ndio uelewe kua kuna watu maalumu duniani MAFISADI hawaoni gharama kumuua hata ndugu yake ilimradi awaone waislamu wanadhalilishwa duniani. Usishangae kama wameweza kuwaua maelfu ya rafiki zao TWIN TOWERS washindwe kuripua katika markiti za Baghdadi na Basra kisha wasingizie eti Magaidi wa kiislamu.

Jiulize kwanini wayahudi siku ya 9/11 hawakureport kazi katika Twin towers?

hizo videos kwa taarifa yako mie nimeziona hata kabla yako na cd ninayo hapa kwangu...
ndio maana nikasema yawezekana ikawa kweli na pia yawezekana ikawa kweli as therez nothing impossible chini ya jua...
ila tuu ndio nikakwambia ili kuweza kudiscuss vyema kuhusiana na mada hii tata,ni bora usiweke mambo ya kidini as they are not related kabsaaa???
ni bora hata ungeuliza je 9/11 ilikua kweli ama??na sio kuweka tofauti za kidini
 
This is absolutely drivel..! And I can't see how a poor Tanzanian spend his/her time on useless stuff like this one, you better discuss something of the proper value for Tanzania. If someone believe 9/11 to be a hoax, then he/she is trying to tell us that Osama and USA adminstration collaborate!! How would he come out and congratulate the guys on the mission if he didn't know about the hoax itself?!! And if he collaborates with USA, for which benefit he get from?! Mass killings of his own innocent people across Middle East??! I can't see this happen.
Anybody can sit behind his/her computer and design his/her own sort of 9/11 and send it to YouTube or someone who (like some of ppl on this thread) who trust and accept anything that comes from a White (in your case White American).

IN SUMMARY:
1.Your so called "evidence" is a load crap and waste of space.
2.You need to grow up and become more sensible.
 
Haya ndiyo yanayoniudhi na Wengi wenu mnaojiita WAUMINI wa dini.

Hamna UUMINI wala nini, kila kitu kutukanana, kukashifiana na kila kitu mna ki-link katika dini na kukifanya NDIYO MWENYEZI MUNGU alivyosema.

Hivi BINADAMU hawakuumbwa na akili zao wenyewe na maamuzi yao wenyewe?! Inaudhi na kutia machungu watu wazima na waliopewa uwezo wa KUFIKIRI na Mwenyezi MUNGU wakiongea Namna hii.

SteveD.

Mimi haya hayanishangazi kabisa, kwani JF mods ndio wanayalea haya. Nadhani wanayapenda or they're fast asleep.

Km kuna kitu kinakera hapa JF ni matumizi ya lugha ya baadhi ya members. I think they're out of control.
 
This is absolutely drivel..! And I can't see how a poor Tanzanian spend his/her time on useless stuff like this one, you better discuss something of the proper value for Tanzania. If someone believe 9/11 to be a hoax, then he/she is trying to tell us that Osama and USA adminstration collaborate!! How would he come out and congratulate the guys on the mission if he didn't know about the hoax itself?!! And if he collaborates with USA, for which benefit he get from?! Mass killings of his own innocent people across Middle East??! I can't see this happen.
Anybody can sit behind his/her computer and design his/her own sort of 9/11 and send it to YouTube or someone who (like some of ppl on this thread) who trust and accept anything that comes from a White (in your case White American).

IN SUMMARY:
1.Your so called "evidence" is a load crap and waste of space.
2.You need to grow up and become more sensible.

Peasant! have you really watched the videos. I supporse you did not. Pls do that in your leasure time. No hash
 
hizo videos kwa taarifa yako mie nimeziona hata kabla yako na cd ninayo hapa kwangu...
ndio maana nikasema yawezekana ikawa kweli na pia yawezekana ikawa kweli as therez nothing impossible chini ya jua...
ila tuu ndio nikakwambia ili kuweza kudiscuss vyema kuhusiana na mada hii tata,ni bora usiweke mambo ya kidini as they are not related kabsaaa???
ni bora hata ungeuliza je 9/11 ilikua kweli ama??na sio kuweka tofauti za kidini

Sio mambo ya nani kaona mwanzo. Fact ni kwamba kwanini Mayahudi wanafanya uadui kama huu duniani, na wamenyamaziwa na vyombo vya Super Power. Ni jambo la kutafakari tujue kuna Agenda gani? Sasa yaliyopita sio ndwele tugange yajayo. Jambo la kwanza ni kuondosha makafiri wanaowauwa waislamu kila siku katika nchi zao.

Kwamfano, tuliambiwa vita vya Iraq ni Mass destructions, mnalikumbuka hilo? Where are the weapons of mass destruction? did the President lie? Were we deceived? Did he lie lie lie? Pia tuliambiwa ni kumng'oa Sadam Hussein, naye hayupo duniani. Sasa ni kuwang'oa watoto wa kiislamu? Ni lazima tuhukumu kwa haki kama ni kweli tunaitakia dunia Amani.
 
Give me a Break.

Sasa hivi mnadai Uislamu.
Ikitokea mmeshinda na hoja yenu ya Uislamu hoja ya pili itakua Uarabu.
Kam siyo mwarabu huna haki.
Uarabu ukishinda.
Wapalestina wataambiwa siyo waarabu pure.
Waajemi wataambiwa siyo waarabu.
Weusi mtaambiwa ni watwana kama mlivyo itwa zamani hapo ndo mtajua mmeliwa.
Uslamu na desturi za kiarabu zimevirigwa pamoja. Kila muislamu anajiona mwarabu.
Ulizeni weusi na wengine wasio waarabu waliowahi kaa uarabuni wawaambie ubaguzi wa hao jamaa ulivyo, afadhari hata mzungu atakupa kazi ya kubeba mabox.

kam si mwarabu wewe si mtu.
 
Back
Top Bottom