acha uongo we mzee, wameuawa kwa kukanyagwa na lori eboo!Watu 84 wameuwawa kwa shambulio la risasi Nchini Ufaransa. Walikuwa beach katika Mji wa Nice.
Source: CNN
Duh mzee lugha ya malkia haipandi au nini?Watu 84 wameuwawa kwa shambulio la risasi Nchini Ufaransa. Walikuwa beach katika Mji wa Nice.
Source: CNN
Watu 84 wameuwawa kwa kukanyagwa na lori Ufaransa. Walikuwa beach katika Mji wa Nice.
Source: CNN