83 wafariki dunia kwa Kipindupindu Niger

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka Nchini Niger zimesema watu 83 wamefariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Kipindupindu ikielezwa zaidi ya Visa 2,300 vimeripotiwa tangu Machi 13

Mikoa sita kati ya nane ya Taifa hilo limeathiriwa na Ugonjwa huo ambao umekithiri zaidi kutokana na mafuriko. Mapema mwezi Agosti, Waziri wa Afya Idi Illiassou Mainassara alitangaza Kipindupindu kuwa mlipuko

======

A cholera outbreak has killed 83 people in Niger, where authorities have recorded more than 2,300 cases since 13 March.

Six out of Niger’s eight regions have been affected by the outbreak, which has been worsened by floods.

A cholera epidemic was officially declared on 9 August by Health Minister Idi Illiassou Mainassara.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom