+81 3-6277-7455 Namba gani hii?

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,542
3,502
Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana.

Je kuna ambaye anaijua hii namba? Labda ulishawahi kupigiwa na namba hii?

+81 3-6277-7455
Iliandika Tokyo wakati inaita.
 
Hii namba ni ya wapi?
 
DJ khaled uyo
 
Ile kazi uloomba nje unaitwa interview mkuu kuwa na subira utapigiwa tena.
 
Wameona umahiri wako hapa JF wa kuchat wanapenda ukafanye nao huko kwao nje ya Tanzania na nje ya Africa:rolleyes:
 
Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana.

Je kuna ambaye anaijua hii namba? Labda ulishawahi kupigiwa na namba hii?

+81 3-6277-7455
Iliandika Tokyo wakati inaita.
Hiyo ni namba ya Japani na hiyo inayofuata ni eria code CITY ya KUMAMOTO.
title_kumamoto.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom