80% ya wanawake huangaliwa kwa nyuma na wanaume wanapopita hasa makalio

Sasa sisi namba moja, tunaangaliwa nini jamani. Dah ngoja nizidishe kipimo cha dona. Sijui itasaidia...
Nimehisi huruma, ila uckate tamaa, beauty is on the eyes of beholder, ila uharaka wa kutamanika uwe na mzigo hivi, huu ndio ukweli, na mahusiano yanaanza na kutamaniana, makalio huongeza matamanio more & more, hasa ukiwa na kiuno kidogo weeee
 
mwanamke nyonga makalio majaaliwa!!! tunajua wanaume mmeumbwa kutamani ndio maana macho yenu huwa hayatulii. lakini let me remind u one thing 'si kila king"aacho ni dhahabu" si kila mwenye makali analipa kama mnavyodai
 
Dah, nimecheka hadi basi, eti unaona huruma. Duu ngoja niende kwa mchina fasta.
 
Dah, nimecheka hadi basi, eti unaona huruma. Duu ngoja niende kwa mchina fasta.
Ila ya mchina be careful, unaweza kuwa na **** moja kubwa kuliko lingine, fuata masharti vizuri na usitumie dawa yote, it is risky somehow, ila wanawake wengiii hapa Dar wamefanikiwa, wana mkia hao wa kufa mtu
 
Kumbe ninayo bwana, kuna mtu hapa nimemuliza kaniambia ipo ya kutosha tu, ila nijatahidi kuibana. Kwa hiyo kesho ntapitia vimbano viwili vitatu, ukinikuta lazima ugeuke.
 
Kumbe ninayo bwana, kuna mtu hapa nimemuliza kaniambia ipo ya kutosha tu, ila nijatahidi kuibana. Kwa hiyo kesho ntapitia vimbano viwili vitatu, ukinikuta lazima ugeuke.
Hongera zako, tumia vizuri kama unayo ya kutosha LD, maana kuwa nayo ni step moja forward, is it useful? Ooops sorry kama nimeenda mbali nivumilie
 
mwanamke nyonga makalio majaaliwa!!! tunajua wanaume mmeumbwa kutamani ndio maana macho yenu huwa hayatulii. lakini let me remind u one thing 'si kila king"aacho ni dhahabu" si kila mwenye makali analipa kama mnavyodai

muhanga hujambo bidada.........................?
 
Hongera zako, tumia vizuri kama unayo ya kutosha LD, maana kuwa nayo ni step moja forward, is it useful? Ooops sorry kama nimeenda mbali nivumilie
Dah, hizo step nyingine ngoja ni mtafute Maria Roza. Au na ww ni mwalimu mzuri?
 
...but soon as you turn around,there is something that i realize,you look better from behind you look better from behind!we all know what is inside MAKALIO....its POOP but we just cant have enough of them,some go as far as to lick and suck on them!!as the guy from Gods must be crazy kept saying.....its an interesting psychological phenomenon.
you got a great future behind gals,keep doing yo thing!
 
Wanaume wenye upako hatuna tabia ya kuangalia maumbo ya wanawake wasio wetu. Hicho ndo chanzo cha tamaa. Angalieni pepo hilo linawapeleka pabaya.
 
muhanga hujambo bidada.........................?

sijambo basha ... aah sorry BACHA! japo nyuki hapigwi busu lakini mie leo nakupiga moja mmmmwaaaaaa! tusio na makalio mbona tuna taabu??? lakini mie nashukuru nilipata alieniangalia kwa mbele kabla hajageukia nyuma akanizimikia basi tunaendeleza maisha hadi leo hajageuka kuangalia nyuma kama yapo ya kutosha au la, cha msingi ninacho kikalio.....
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa na tabia ya kusoma magazeti na kutazama picha za katuni zilizomo. Nilipokuwa naona wanaume wakitazama makalio/wowowoo za mabinti nilipatwa na mishangao sana, ckujua ni nin haswa! Bt katika ukuaji wangu, baada ya kupata uelewa wa mambo nimekuja tambua kuwa Hisia huwa na nafasi kubwa katika hili. So c ajabu!
 
ahaa kiamsha mzee aliye lala kinaangaliwa saaana ndo maana wengi siku hizi huyakuza kwa mchina soko hilo
 
Back
Top Bottom