80% Ya Waandishi wa Habari Tanzania nawadharau sana, ni kama hawana uwezo

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Media house mjue kabisa mimi binafsi nawadharau sana yaani navowachukulia ni kama watu wasio na akili.
Hebu angalia maswali yanayoulizwa na waandishi wa Rwanda, Kenya, Uganda waandishi wao wako well organised hata kama anamuhoji kiongozi unaona kabisa huyu ana akili na kafanya tafiti za kutosha za aliekwenda kuhojiana nae.

Kiufupi waandishi wa Tanzania mmeachwa mbali na waandishi wa habari wa somalia na burundi.
Kazi yenu kubwa kwenye nchi hii haipnekani ndio maana akipatikana kiongozi wa kuwapiga pini hua tunafurahi sana.

Atokee mwamba kama magufuli awapige pini ndio akili zitawakaa sawa.

Udaku , umbea na blah blah zinakua nyingi hadi tunawaona kweli hamnazo.

Yaani afadhali jamaa yangu Beni Kiko au mwanangu tumbo risasi wangekua bado wanachapa kazi walikua afadhali.
 
Duh...
 
0b2b59c10814f241ccca4dc3f8848660.jpg
 
Tatizo lipo kwa sisi also, tunapenda mno Habari za kimihemko, udaku, umalaya (angalia mada za umalaya wachangiaji wapo wengi),pia hatuna 🔎 journalists ,kuna wakati kulikua kunachapishwa gazette lililoitwa Mfanyakazi, hili gazette lilikua linachapwa kila jumamosi tu,na ilikuwa nadra sana kulipata baada ya 10am, but now tuna magazeti kibao ya kiutopolo tu
 
Back
Top Bottom