Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupanga ni kuchagua.Sasa ni kununua ndegeDah.
Misplaced priorities zinatutesa sana. Instead of the regime tackling the root issues za mtanzania na establishing sustainable systems, inafanya vitu vya kuonekana kwa macho na kuonyesha kwa kidole, regardless of their impact on the bigger picture.
Kweli mkuu ina raha yake,ingawa pia ni moja ya vyanzo vinavyoinua uchumi kwa kasi kama biashara ni nzuri...Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.
Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Kweli mkuu ina raha yake,ingawa pia ni moja ya vyanzo vinavyoinua uchumi kwa kasi kama biashara ni nzuri...
Ni fahari kuona chombo Nje ya Nchi yako kutoka kwenu?Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.
Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Wewe kilema wa ubongo nimezungumzia suala la usafiri wa ndege unavyotangaza taifa nje ya mipaka ya nchi.Ni fahari kuona chombo Nje ya Nchi yako kutoka kwenu?
Je ni fahari kusikia Nchi yako inabana uhuru, demokrasia, katiba kanyaga, watu kutekwa na kupotezwa, umasikini usiseme, ajira ndo kabisa, afya hali ya wana siasa pinzani?
Huwaga ni nini kipaumbele chenu mnachoitaka serikali itekeleze?Dah.
Misplaced priorities zinatutesa sana. Instead of the regime tackling the root issues za mtanzania na establishing sustainable systems, inafanya vitu vya kuonekana kwa macho na kuonyesha kwa kidole, regardless of their impact on the bigger picture.
Huo mchezo wa madai ya kishamba waweza endelezwa tena?waikabidhi haraka-haraka kabla haijatekwa na mabeberu wanaotudai kila kona ya dunia.
mkimaliza kulipa madeni na mchezo huo utakwisha.Huo mchezo wa madai ya kishamba waweza endelezwa tena?
Kweli kabisa miaka hiyo nikisoma kampala,uganda ulikua ukiona gari namba TZ zilikua ni best moment that made you feel at home!!Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.
Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Wooow inapendeza sana kuona kitu cha nyumbani kwenye ardhi ya ugenini.Kweli kabisa miaka hiyo nikisoma kampala,uganda ulikua ukiona gari namba TZ zilikua ni best moment that made you feel at home!!
Santino ukiwa nje ya nchi unashinda airport? Anyway kwa kiasi kikubwa nakubaliana nawewe ukienda nchi za wenzetu swali la kwanza "umekuja na usafiri gani"? mimi sehemu fulani miaka hiyo ya nyuma nilijibu "Ethiopian airline" likaja swali lingine la kebehi "don't you have your national carrier"? Sasa nikisafiri tena nitawajibu " we have Air Tanzania"Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.
Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Ndio maana lichama lao linazidi kuporomoka kila kukicha.Huwaga ni nini kipaumbele chenu mnachoitaka serikali itekeleze?...