• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

787 dreamliner katika hatua za mwisho za umaliziwaji

BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
WAKUYE WAKUYEYE BABA JPM

LLAZIMA UONDOKE 2025 NA HISTORIA
2170044_FB_IMG_1569326960363.jpg

MUNGU AKUBARIKI SANAA
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
4,739
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
4,739 2,000
Dah.

Misplaced priorities zinatutesa sana. Instead of the regime tackling the root issues za mtanzania na establishing sustainable systems, inafanya vitu vya kuonekana kwa macho na kuonyesha kwa kidole, regardless of their impact on the bigger picture.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
23,029
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
23,029 2,000
Dah.

Misplaced priorities zinatutesa sana. Instead of the regime tackling the root issues za mtanzania na establishing sustainable systems, inafanya vitu vya kuonekana kwa macho na kuonyesha kwa kidole, regardless of their impact on the bigger picture.
Kupanga ni kuchagua.Sasa ni kununua ndege
 
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,845
Points
2,000
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,845 2,000
Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.

Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
9,762
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
9,762 2,000
Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.

Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Kweli mkuu ina raha yake,ingawa pia ni moja ya vyanzo vinavyoinua uchumi kwa kasi kama biashara ni nzuri...
 
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,845
Points
2,000
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,845 2,000
Naam! biashara ikiwa nzuri ni fahari zaidi maana mnapata faida, ila ikiwa mbaya ni tabu tupu.

Kweli mkuu ina raha yake,ingawa pia ni moja ya vyanzo vinavyoinua uchumi kwa kasi kama biashara ni nzuri...
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
45,191
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
45,191 2,000
waikabidhi haraka-haraka kabla haijatekwa na mabeberu wanaotudai kila kona ya dunia.
 
Masanva Aya

Masanva Aya

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
425
Points
1,000
Masanva Aya

Masanva Aya

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
425 1,000
Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.

Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Ni fahari kuona chombo Nje ya Nchi yako kutoka kwenu?
Je ni fahari kusikia Nchi yako inabana uhuru, demokrasia, katiba kanyaga, watu kutekwa na kupotezwa, umasikini usiseme, ajira ndo kabisa, afya hali ya wana siasa pinzani?
 
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,845
Points
2,000
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,845 2,000
Ni fahari kuona chombo Nje ya Nchi yako kutoka kwenu?
Je ni fahari kusikia Nchi yako inabana uhuru, demokrasia, katiba kanyaga, watu kutekwa na kupotezwa, umasikini usiseme, ajira ndo kabisa, afya hali ya wana siasa pinzani?
Wewe kilema wa ubongo nimezungumzia suala la usafiri wa ndege unavyotangaza taifa nje ya mipaka ya nchi.

Hilo suala la demokrasia, siasa na afya beba familia yako ukalalamike mahakamani.
 
D

Drift

Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
74
Points
125
D

Drift

Member
Joined Jul 27, 2019
74 125
Endelea kukanyaga gia Magu...wengi wameshakuelewa kwa sasa...tunaisubiria kwa shauku kubwa hiyo dreamliner..umeweza pale palipokuwa pameshindikana...!!
 
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
5,257
Points
2,000
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
5,257 2,000
Dah.

Misplaced priorities zinatutesa sana. Instead of the regime tackling the root issues za mtanzania na establishing sustainable systems, inafanya vitu vya kuonekana kwa macho na kuonyesha kwa kidole, regardless of their impact on the bigger picture.
Huwaga ni nini kipaumbele chenu mnachoitaka serikali itekeleze?

Mbona karibia vipaumbele vyote vya taifa vimeguswa safari hii?

Wakati serikali zilizopita zilizokuwa zimejaa wapigaji, tulisikia raia wakilaani matumizi makubwa ya fedha za serikali, kuliko fedha za maendeleo!

Shirika la ndege, reli, meli vyote vilikuwa ukingoni kubakia historia.

Sasa utawala huu unayarejesha yote hayo kwa dhamira ya kweli, lakini raia hatuoni hayo kwa kuvaa miwani ya mbao safarini kwa makusudi!

Nionavyo, kelele zikianza kupigwa unapoanzisha ujenzi hata wa makazi binafsi, ongeza kasi ya utekelezaji.

Hautakiwi kuzisikiliza, ukisikiliza namna zinavyopazwa kama ushauri, zaweza kukukatisha tamaa na kushindwa kufikia lengo.

Ushauri unaoingizwa katikati ya utekelezaji wa maamuzi yaliyokwishafikiwa, huwa siyo ushauri bali ni za husda na inda, hazistahili kusikilizwa, kufuatwa wala kuaminiwa.

Hii formula ya kuficha mipango yako ya maendeleo, kumbe ina mashiko, ili hata kama familia yako wana ushauri wa hovyo, waje waone tu kitu kimetokea.

maana shetani hukasirika sana hasa unapojipiga kifua na kutoka hadharani na kusema: 'mimi ninafanya hiki' ambacho wao hawana uwezo wa kukifanya!
 
M

MasterGamaliel

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
396
Points
500
M

MasterGamaliel

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
396 500
Kuna kuzomewa majukwani 2020
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
6,035
Points
2,000
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
6,035 2,000
Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.

Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Kweli kabisa miaka hiyo nikisoma kampala,uganda ulikua ukiona gari namba TZ zilikua ni best moment that made you feel at home!!
 
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,845
Points
2,000
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,845 2,000
Kweli kabisa miaka hiyo nikisoma kampala,uganda ulikua ukiona gari namba TZ zilikua ni best moment that made you feel at home!!
Wooow inapendeza sana kuona kitu cha nyumbani kwenye ardhi ya ugenini.
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,697
Points
2,000
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,697 2,000
Hakuna kitu kinainua nchi kimataifa na kujulikana kama michezo, uchumi, kijeshi, utalii nk. Ila nimegundua hata hivi vyombo (ndege) zikiwa nje ya nyumbani hutangaza nchi.

Ni fahari sana ukiwa nje ya nchi yako ukaona chombo kutoka kwenu kimetua kwenye eneo hilo.
Santino ukiwa nje ya nchi unashinda airport? Anyway kwa kiasi kikubwa nakubaliana nawewe ukienda nchi za wenzetu swali la kwanza "umekuja na usafiri gani"? mimi sehemu fulani miaka hiyo ya nyuma nilijibu "Ethiopian airline" likaja swali lingine la kebehi "don't you have your national carrier"? Sasa nikisafiri tena nitawajibu " we have Air Tanzania"
 
Forum statistics

Threads 1,403,606
Members 531,286
Posts 34,428,754
Top