77 hotel Arusha

geofreyt

Member
Sep 3, 2009
28
0
Nikikumbuka 77 enzi hizo na umaarufu wake hadi sasa uko juu(nice business location and famous)lakini jinsi si-asa zinavyotumika,watz hatuji endelea! In short the place was rockin!
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,973
2,000
Nikikumbuka 77 enzi hizo na umaarufu wake hadi sasa uko juu(nice business location and famous)lakini jinsi si-asa zinavyotumika,watz hatuji endelea! In short the place was rockin!

nimeshindwa kuelewa kabisa
 
Ally Kombo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
11,429
1,225
Hivi nayo hii ilikuwaje?
hii kuna mdosi alijitoa itv akasema anapiga mall ya nguvu na blue print akazionyesha, kitu matata sana ! Zaidi ya miaka miwili hivi, muhindi mwenyewe ni kama africarrier hivi, mdosi wa hapa hapa !
 
Kaldinali

JF-Expert Member
May 25, 2012
263
0
Nitawasiliana na Jembe Balozi Hamisi Kagasheki (Mbunge) aliangalie hili suala. Yule jamaa huwa hakopeshi.
 
MLERAI

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
668
475
Bora ingebaki kama wanzoni.Wazee wa mjini tunateseka sana hatuna pa kupunguzia mawazo.Tunalimic bakulutu.Na vib...t vya chuo
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,973
2,000
Wakuu kuna mtu ana news yoyote kuhusu nini kinaendelea kuhusu hii hoteli ?
 
wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
1,500
sasa hivi Nguchiro ndo pekee wanaserebuka BAKULUTU! Kila siku wanapiga dua kusibadilishwe mazingira. Kichaka tu!
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,973
2,000
sasa hivi Nguchiro ndo pekee wanaserebuka BAKULUTU! Kila siku wanapiga dua kusibadilishwe mazingira. Kichaka tu!

Aiseee acha kabisa kunikumbusha bakulutu la pale . Roho inauma saana
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,145
2,000
Aiseee acha kabisa kunikumbusha bakulutu la pale . Roho inauma saana

Miaka ile 1995 mpaka hata 1999 inanikumbusha matukio fulani humo ndani miaka ile. bucho nakwambia mafisadi wameiweka hotel 77 mifukoni mwao.
 
Last edited by a moderator:

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
0
Wakuu kuna mtu ana news yoyote kuhusu nini kinaendelea kuhusu hii hoteli ?

kuna mlinzi mmoja pale mchana anatoa huduma ya choo kwa sh 200. sijui ndo uwekezaji wenyewe yaani tz ni zaidi.....
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,973
2,000
Miaka ile 1995 mpaka hata 1999 inanikumbusha matukio fulani humo ndani miaka ile. bucho nakwambia mafisadi wameiweka hotel 77 mifukoni mwao.

mkuu Yaani huu ni upumbavu wa hali ya juu kuiachia hotel kubwa kama ile kuendelea kuoza pale chini wakati inaweza kutengeneza ajira kwa mamia ya watu kama sio elfu . Kiukweli tunataka majibu yanayoeleweka kuhusu hii hoteli . Na pia ikiwezekana tupitie mkataba wa mauziano wa hoteli hii.
 
Last edited by a moderator:

Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,564
2,000
Mkuu ukisha uza kitu chako huna mamlaka nacho tena, hivyo serikali haiwezi kufanya kitu maana walishaiuza. Mwenyewe aliyenunua anajua anachofanya. Tatizo ni kubinafsisha kila kitu ndicho kimetufikisha hapa. Viwanda vingi kama sio vyote vilivyobinafsishwa havifanyi kazi tena.

Wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa Arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom