70% ya bajeti ya elimu inategemea wafadhiri, inamana wakikata ile elimu bure haiwezekani, sie na ndege sio elimu

Huwezi ipongeza serikali inafanya vzur Wakati unaona sisi tupo tofauti na Somalia... Serikal n wajibu wake watu sisi tukae Kwa amani... Na tuwe maisha mazuri sasa unapoona mambo yanakua kinyume sema acha usengee

Eti unapata pesa usemee unapata ili iwejee Hakuna pesa sema ili upate pesa acha usengee

Mafanikio hayatangazwi yanaonekana tu alafu tunayaishi Usicheke na musengeee..

JPM anasaka mafanikio sasa anapoambiwa kitu akomolewi yy mwenyewe anaelewa sasa ww uku Eti unataka ujitangazee upo vzur tutakuona hamna hajaa ya kujitangaza ila ukiwa na matatizo yasemee utasaidiwa acha upapac Dogo
 
WEWE NI ZAIDI YA MCHAWI......yaaani nyie kila kitu kwenu ni nongwa....
Mbona na nyie mnapewa FEDHA na wafadhili wenu hapo UFIPA lakini hakuna maendeleo yoyote mnayofanya zaidi ya KUMNUFISHA MBOWE NA KUNDI LAKE.....acheni unafiki mnachotakiwa kufanya hapa NI NYIE KUENDELEA KUSIMAMIA ILE KAULI YENU NA MSIMAMO YA KUWA ELIMU BURE HAIWEZEKANI NCHI HII..acheni kuhamisha magoli
Wewe acha ushamba, resources zinatumika vibaya, badala ya kuwekeza kwenye elimu/ kilimo mnawekeza kwenye ndege zitakazopandwa na chini ya 2% ya wananchi.! Still bado mnashangilia.

Hii miradi mikubwa mikubwa kuna uwezekano mkubwa ikageuka kuwa "White Elephants" kwa sababu ni za kicks zaidi kuliko dhana nzima ya maendeleo.
 
Kuna vitu vinaumiza ukifikiria,Kitu kama Elimu mtu anaweka kama option kwenye vipaumbele vya taifa. Hakuna taifa linaendelea wakati Hamjawekeza vya kutosha kwenye Elimu.
Ndege zitaanguka,mitambo itaungua na moto Elimu itasimama daima.
Kwa mwendo huu inabd kila mtu abebe msalaba wake,akasomeshe anakoona kuna Elimu inayofaa. Kila mtu kivyake. Noma sana
Kama kweli Chadema inathamini Elimu basi Mwenyekiti wa Chadema hakustaili kuwa DJ.
 
WEWE NI ZAIDI YA MCHAWI......yaaani nyie kila kitu kwenu ni nongwa....
Mbona na nyie mnapewa FEDHA na wafadhili wenu hapo UFIPA lakini hakuna maendeleo yoyote mnayofanya zaidi ya KUMNUFISHA MBOWE NA KUNDI LAKE.....acheni unafiki mnachotakiwa kufanya hapa NI NYIE KUENDELEA KUSIMAMIA ILE KAULI YENU NA MSIMAMO YA KUWA ELIMU BURE HAIWEZEKANI NCHI HII..acheni kuhamisha magoli
Umbea wa elimu bure utawaponza paka nyie
 
WEWE NI ZAIDI YA MCHAWI......yaaani nyie kila kitu kwenu ni nongwa....
Mbona na nyie mnapewa FEDHA na wafadhili wenu hapo UFIPA lakini hakuna maendeleo yoyote mnayofanya zaidi ya KUMNUFISHA MBOWE NA KUNDI LAKE.....acheni unafiki mnachotakiwa kufanya hapa NI NYIE KUENDELEA KUSIMAMIA ILE KAULI YENU NA MSIMAMO YA KUWA ELIMU BURE HAIWEZEKANI NCHI HII..acheni kuhamisha magoli
Ombi - Utoaji mimba uruhusiwe ili kuepusha mitoto kama hii .
 
"Ukiangalia bajeti asilimia 70% ya fedha ambazo zimekwenda kwenye elimu ni fedha za wafadhili, fedha zetu za walipa kodi hazikwenda kwenye elimu maanake ni kwamba taifa letu halijawekeza kwenye elimu. Kama taifa haliwekeza kwenye elimu tunawekeza kwenye Bombardier na vitu vingine ni sawa, tutakuwa na Bombardier, Standard gauge na vitu vizuri vizuri vitakuwa vinaonekana lakini vinaleta matokeo gani kwa watu wetu" - Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

Toa maoni yako
Kinachotutesa kama taifa ni mind set zetu.sisi tunaamini maendeleo ni physical things,barabara,madaraja,train,magorofa ,ndege nk.while hivyo vitu si maendeleo bali ni product ya maendeleo.Maendeleo ni kuongezeka kwa tija,productivity ya watu wetu,watu wetu wakiongeza productivity maana yake watalipa kodi nyingi na serikali itajenga vitu vyote hivyo bila kulazimika kwenda kumpigia magoti mtu ili awape mkopo or ufadhili
 
Tunahitaji maendeleo ya watu sio maendeleo ya vitu.

Magufuli amewekeza nguvu nyingi kwenye maendeleo ya vitu huku watu wa nchi yake wakiwa hoi bin taabani kadri siku znavyozidi kwenda.
 
Back
Top Bottom