Bill mafia microsoft kaua kampuni ndogo nyingi na alikuwa na makesi kibao mfano netscape, alipotaka kununua browser wakamgomea akaamua atoe windows ikiwa na browser ya bure kabisa ya internet explorer netscape ikafaBill hanaga neno na NTU lakini
Aiseeee.Na kapigika vibaya sana maana yeye alikuwa mtaalamu wa kutengeneza slot mashine zile za gambling, so pia hakuwahi kuwaza kama apple itakuja kuwa kubwa hivyo.
Baada ya kuondoka apple walimaliza miaka kibao hawawasiliani na steve ila wakati wa uzinduzu wa iphone ya kwanza, anadai from no where akapokea simu toka kwa steve akamwambia amemwandalia tiketi ya ndege go and return na accomodation aende kuhudhuria kuzinduliwa kwa simu ya iphone.
Jamaa akahisi dah steve kanikumbuka kuna something behind it.
Na kweli akaenda kufika kwenye uzinduzu steve akiwa stejini anashusha vitu, mzee akakuta kumbe na wozniak kaalikwa wakawa pamoja wanasubiri steve ashuke wapate piga story labda kuna la ziada.
Eti alishangaa alipoteremka baada ya uzinduzi aliwafuata akawambia kuwa it was nice meeting them basi akaondoka.
Mzee anasema ilikuwa kama kunwambia kilichokuleta kimeisha sepa.
Bill mafia microsoft kaua kampuni ndogo nyingi na alikuwa na makesi kibao mfano netscape, alipotaka kununua browser wakamgomea akaamua atoe windows ikiwa na browser ya bure kabisa ya internet explorer netscape ikafa
Sema jamaa wacha awe tajir maana kafail sana maishani hata alipoanzisja NEXTstep alitengeneza pc zikawa zina bei zaidi ya milion 16 ya kibongo just imagine.Aiseeee.
Bora steve kafa pia angewazingua sana pia wanaumia kwa mafanikio ya apple.
Sema jamaa wacha awe tajir maana kafail sana maishani hata alipoanzisja NEXTstep alitengeneza pc zikawa zina bei zaidi ya milion 16 ya kibongo just imagine.Aiseeee.
Bora steve kafa pia angewazingua sana pia wanaumia kwa mafanikio ya apple.
Hapoukipita uswahilini huku umeliweka sikioni bonge la mtamakwa watoto.He he heee.
Nilikuwa na lile motorola kubwaaaa
Aiseee
so mkuu unataka kusema stev hadi anakufa alikuwa si mmiliki wa apple bali mwanzilishi tu?Sema jamaa wacha awe tajir maana kafail sana maishani hata alipoanzisja NEXTstep alitengeneza pc zikawa zina bei zaidi ya milion 16 ya kibongo just imagine.
Watu wangapi wangenunua, so zikafail akaamua a deal na kudevelope softwares ndo akatengeneza OS ambapo macntosh imebase kwenye hiyo OS steve aliintroduce misingi ya hiyo OS kuanzia ile tray muonekano na mengine aliporidi apple
PC 16 milSema jamaa wacha awe tajir maana kafail sana maishani hata alipoanzisja NEXTstep alitengeneza pc zikawa zina bei zaidi ya milion 16 ya kibongo just imagine.
Watu wangapi wangenunua, so zikafail akaamua a deal na kudevelope softwares ndo akatengeneza OS ambapo macntosh imebase kwenye hiyo OS steve aliintroduce misingi ya hiyo OS kuanzia ile tray muonekano na mengine aliporidi apple
Ukichaji mara moja unatumia wiki nzima.Lile dude nililitumia hadi 2006 mkuu
Alikuwa na shares bado lakini hakuwa major share holder nadhani hata shares zake hazifiki 1% ya share zote za apple.so mkuu unataka kusema stev hadi anakufa alikuwa si mmiliki wa apple bali mwanzilishi tu?
so tuseme na yeye aliona kuwa safari ya apple isingekuwa ya matumaini akaamua kukacha mapema siyo?Alikuwa na shares bado lakini hakuwa major share holder nadhani hata shares zake hazifiki 1% ya share zote za apple.
Sema alikuwa ana shares 7.5% kwenye kampuni ya Disney baada ya kuwauzia Pixar Animations wakampa ela na shares pia
Hapana steve alimkaribisha aliyekuwa Ceo wa pepsi by the time, anitwa john sculley aje afanyie kazi apple.so tuseme na yeye aliona kuwa safari ya apple isingekuwa ya matumaini akaamua kukacha mapema siyo?