TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
It seems you don't believe in Allah and his Messenger Prophet Muhammad. What a sad and shameful thing. I do believe what Allah and Prophet Muhammad said about Israel that ISRAEL IS A NATION AND A COUNTRY. I don't believe what you are saying, one percent.
Thanks to Allah and Prophet Muhammad for their understanding and saying the truth about ISRAEL. Thanks to Koran for acknowledging Israel and refused to mention Palestine. Palestine is NOT IN THE KORAN. ISRAEL IS IN THE KORAN and mentioned as a Country and Nation. ALLAH BLESS ISRAEL.
It's seems like you totaly confused or you don't understand about Quran or what Israel or Jews about.Palestine is not in Quran but Masji Al-Aqsa mention in Quran and before Palastine name was "Canaan".
beGlory to (Allah) Who did take His Servant for a Journey by night
from the Sacred Mosque to the Farthest Mosque,
whose precincts We did bless,
- in order that We might show him some of Our Signs:
for He is the One Who heareth and see
Quds ni nini?
Quds ni mji mtukufu miongoni mwa miji mitakatifu kwa waislamu,pia hufahamika kwa jina la Jerusalem.Utukufu na umuhimu wake umetokana na msikiti wa Aqswaa(Masjidul Aqswaa) ambao Mwenyeezi Mungu(swt) aliutukuza na akazibariki sehemu zilizouzunguka,ni katika msikiti huu wa Aqswaa ndipo Bwana Mtume saww) alianzia safari yake ya kwenda mbinguni(Miiraj/ascension) na ni katika msikiti huu ndipo Bwana Mtume saww)aliwaswalisha mitume waliomtangulia kabla hajaanza safari yake ya Miiraj.Anasema Mola Mtukufu katika Quran:
"Ametakasika Yule ambaye amemsafirisha mja wake usiku toka msikiti mtukufu(Makkah) hadi msikiti wa mbali(Aqswaa,Qudsi) ambao tumevibariki vilivyouzunguka…….."(Israa:1)
Isitoshe msikiti wa Aqswaa ndiyo kibla cha kwanza cha waislamu,hapo mwanzo wa Uislamu Bwana Mtume(saww) na waislamu walikuwa wakielekea katika msikiti wa Aqswaa ulioko Quds wakati wa swala zao,baadae ndipo Mwenyeezi Mungu akamuamrisha Bwana Mtume(saww) na waislamu waelekee katika msikiti mtukufu wa Makkah(Masjidulharaam) badala ya Quds:
"…………basi elekeza uso wako upande wa Masjidulharaam(Makkah),na popote mnapokuwa elekezeni nyuso zenu upande huo………"(Albaqarah:144)
Pia mji wa Qudsi ni mji mtakatifu kwa mujibu wa Uislamu baada ya Makkah na Madinah
Kwa hiyo mji wa Qudsi ni mtakatifu kwa vipimo vyote vya kiislam na ni mji wetu sisi wa waislamu historia ya kiislamu imeandika juu yake kwa herufi za kudumu ambazo haziwezi kufutika.
Siku ya Qudsi ni nini?
Kwa wasiofahamu ni kwamba mji huu wa Qudsi ambao ni mji mtakatifu wa waislamu sasa hivi si wetu tena umenajisiwa na mayahudi pale ulipokaliwa kwa mabavu(occupied) mnamo mwaka 1967 katika vita inayofahamika kama vita ya siku sita(the six days war),mji huu ulikuwa uko Palestina(kiarabu ni Falastwiin) leo mji huu uko katika nchi ya kubuni inayoitwa Israel ambayo haikuwepo duniani kabla ya mwaka 1948 taifa lililoundwa juu ya ardhi ya Palestina ya kihistoria(Historic Palestine) baada ya kuwaua wenyeji wake na kuwahamisha wengine wakatawanyika dunia nzima wakageuka ni wakimbizi.Waarabu na waislamu walijaribu kuwafukuza wavamizi hao lakini matokeo yake ni ardhi zaidi kumezwa na matokeo yake ni kukaliwa kimabavu kwa mji mtakatifu wa Qudsi,Qudsi ambayo yamuita kila anaejiona ni muislamu aje kuikomboa airudishe kwa waislamu,ni jambo zito kulifikiria kuwa hata waislamu hawaruhusiwi kuswali katika msikiti huo ila kwa ruhusa ya wavamizi wa kizayuni.Mmoja katika wanazuoni mashuhuri wa kiislamu Sayyid Jamaaluddin al Afghaaniy hakuonekana kucheka wala kufurahi kwa miaka kadhaa hadi alipofariki dunia na alikuwa akisema vipi nitacheka na kufurahi hali Qudsi kibla cha kwanza cha waislamu kiko mikononi mwa maadui wa Mwenyeezi Mungu?th (all things). [Qur'an 17:1]
Palestine pople nowadays are descendant from the old inhabitants of the biblical judea, galilee and samaria, mixed with arabs and hellenics. the jewish are the people that just practice jewish religion. zionists they don't have any relation to old jewish . diaspora never happened, just the jewish palestinians convert to christianism and islam. it is so easy and logical.
Jerusalem and Israel is for the Israelis not only for the Jews, the Jews are just 2 tribes, Judah and Benjamin. There are 10 tribes which are known as the lost tribes which are scattered over the world. God gave the land to the Israeli not just the Jews. There is nowhere in the bible that states the land was given to the Jews.