Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 491
Hivi Karibuni waziri wa afya katamka bungeni kuwa asilimia 60 ya watanzania wanatibiwa kwa tiba asili ambayo kwa sehemu kubwa hutolewa na waganga wa kienyeji!!
Kwa hesabu ya kutoa ni asilimia 40 ndio hutibiwa katika zahanati, vituo vya afya na hospitali!
Swali langu:
Hivi hii Wizara inapenda afya za Watanzania? Hao waganga wamesoma how to take history na kufanya assessment? Wanaweza diagnose na kutreat appropriately?
Kwa mwendo huu tutaendelea kuwa na infant mortality rate kubwa na adult mortality rate kubwa.
Ushauri wangu:
Tuache mzaha na afya za watu wetu. Waganga walio wengi ni agents of devil! They don't solve problems but they create!
Wabunge wajadili na kuishauri serikali kuboresha huduma za afya na sio nonsense ya kufungua vituo vya kusajili wachawi ambao mnawaita wataalamu wa tiba asili.
Nawasilisha.