6 Behaviours of the lady who has a crush on you.

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
971
1,000
Girls don't say they are attracted to a guy. The highest thing a girl would do if she has feelings for a guy is to show it in her behavior. So, if a girl has an interest in you, here are some behaviors you might observe in her.
402deef8c818428ead91bc3a12eee2d2(1). A girl who has a crush on you would like to know about you. She’ll want to know about your life, friends, work, hobbies, favorite everything, and more.

(2). Using body language is one of the best ways to know if a girl feels the same way about you. If a girl reacts positively to your body language, it's also a sign that she likes you.
(3). She would try to know if you have a girlfriend.

(4). She would give you attention, and be closer to you than other girls.
(5). Does she always reply when you call, text, or message her? They are all signs that a girl is interested in a guy. Especially, when she's responding to his texts and calls during the night.

Girls give all kinds of signs if they like a guy, irrespective of the fact that it depends on the kind of girl. So, if a girl is cool and nice around you, pay attention to her, maybe she has a crush on you.
 
kiumbempole

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
355
1,000
Wanaume wa nchi hii tutazeeka tukiwa tumechoka sana. Kaeni mkijua kutongoza ni jukumu la msingi la mwanaume. Sio kuvizia eti dalili kama demu amekudondokea.
Mwanaume wa kweli anamtokea demu mkavu kabisa, anamuimbisha hatua kwa hatua hadi anamuelewa anaingia laini.
Haifai kila siku kufundishana mbinu za kitonga tuu, tunaharibu kizazi cha sasa na kijacho.
 
oscar classic

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
638

Unawaharibu wewe na nani?
 
Jul 29, 2021
68
125

This is true but it's crazy how guys don't get it
 
Jul 29, 2021
68
125
Alafu mna kosea Sana Hapo...kwanza ukae ukijua sio saundi zako ndo zinamfanya mwanamke akukubali. Sisi wanawake huwa tunafanya maamuzi na tunajua mtu tunayemtaka kabla hata haujaja na ndio maana unakuta mtu huna hta swaga lakini msichana anakukubali tu.
Wanaume wa nchi hii tutazeeka tukiwa tumechoka sana. Kaeni mkijua kutongoza ni jukumu la msingi la mwanaume. Sio kuvizia eti dalili kama demu amekudondokea.
Mwanaume wa kweli anamtokea demu mkavu kabisa, anamuimbisha hatua kwa hatua hadi anamuelewa anaingia laini.
Haifai kila siku kufundishana mbinu za kitonga tuu, tunaharibu kizazi cha sasa na kijacho.
 
Jul 29, 2021
68
125
Karibu u vote kwenye andiko langu🙏
Wanaume wa nchi hii tutazeeka tukiwa tumechoka sana. Kaeni mkijua kutongoza ni jukumu la msingi la mwanaume. Sio kuvizia eti dalili kama demu amekudondokea.
Mwanaume wa kweli anamtokea demu mkavu kabisa, anamuimbisha hatua kwa hatua hadi anamuelewa anaingia laini.
Haifai kila siku kufundishana mbinu za kitonga tuu, tunaharibu kizazi cha sasa na kijacho.
 
Post M-alone

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
362
1,000
Wanawake wakati mwingine most of them huwa wanakua wanakupa ujumbe kupitia nyimbo kwenye simu, nimeshakutana nao wengi sana, sasa kuna mmoja huyo ni pisi moja imesimama sana ni mtoto wa Maza house, ana tako la kuombea kabisa mkopo benki, alifikiri nitakuwa na shobo nae, baada ya kuona sina time nae sasa huwa anapiga ile nyimbo ya Lava Lava (ananiringia).

Mimi sio mfuatiliaji sana wa hizi nyimbo lakini nilijua ujumbe unanilenga mimi nikaishazam, kiukweli huyu mtoto kaumbika huwa nachungulia tu dirishani udenda ukinitoka, lakini nakufa na tai yangu shingoni.

Yaani huyu dada hachoki kubadilisha nyimbo zenye jumbe za kunilenga mimi kimapenzi, alipofikia mi nitamla sasa ohooo!!! sema ndio hivyo natunza heshima yangu.
 
Nielsen

JF-Expert Member
Sep 10, 2021
274
1,000
Alafu mna kosea Sana Hapo...kwanza ukae ukijua sio saundi zako ndo zinamfanya mwanamke akukubali. Sisi wanawake huwa tunafanya maamuzi na tunajua mtu tunayemtaka kabla hata haujaja na ndio maana unakuta mtu huna hta swaga lakini msichana anakukubali tu.
Ua mwaangalia nin??
Nijikague
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom