50000 Spectators Showed Up to U18 larger Crowd than the IAAF has ever Recorded in its Existense

Namuona mana Uhuru Kenyatta anafuraha tele maana anajua mazwazwa yatamchagua mmewake kwa kigezo cha kuleta hayo mashindano.

Uhuru hoiyeeeeeee Raila ziiiiiii
Hujui? Yote hayo yalifanikishwa na mkewe rais. Ilikuwa ni project yake akiwa kwenye commitee ya kufanikisha IAAF U-18 World Championship Nairobi 2017. Ana majukumu yake na bajeti yake chini ya Office of The First Lady. Lucy Kibaki alikuwa na The State House Choir,sijui saa hii wako wapi? Hehe!
 
Back
Top Bottom