50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

Warue

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
423
809
Salaam wanaJF.

Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani hawa Wafaransa walijiandaa kufaidika na kuondolewa kwa Gbagbo madarakani.

1598450279259.png

Laurent Gbagbo na Mke wake baada ya kuondolewa madarakani

Bahati nzuri kwenye pita pita zangu kwenye online books store, nimekutana na kitabu kinachoitwa " free for truth and justice" kilichoandikwa na Gbagbo mwenyewe.

Katika kitabu hiki, Gbagbo amejaribu kuelezea kilichokuwa nyuma ya kuondolewa kwake madarakani kwa msaada wa Wafaransa na washirika wao.

Kwa kifupi, hii hapa maelezo yake kama yalivyofupishwa in InfoSenegal

Laurent Gbagbo: ′′ France has driven me out of power at Cause of Ivorian Oil ′′ #InfoSenegal: When I came to power in 2000, I found in the Ivorian oil mining contract that Ivory Coast earn 12 % on a barrel of oil. This means in easy French that if you sell a barrel of oil for example at 1000 f, France takes 880 f and Ivory Coast takes 120 f. I took another look at the other contracts of ports, cocoa, coffee, gold, diamonds and others.

I realize this is the same looting system that exists everywhere. A month after my election, I engaged in discussions with France to achieve equal agreements in all of our affairs. That is 50 %-50 %. She refused, I saw blush people as if they were being told bad news and this was seen as a threat to French interests, that's why they fought me and put their friends who continue with the same fake ones chords so far.

Kwa wapenzi wa kifaransa, karibuni hapa

Laurent Gbagbo: « La France M’a Chassé Du Pouvoir À Cause Du Pétrole Ivoirien » #InfoSenegal. Quand je suis arrivé au pouvoir en 2000, j’ai trouvé dans le contrat d’exploitation du pétrole ivoirien que la côte d’Ivoire gagne 12% sur un baril de pétrole. Cela signifie en français facile que si on vend un baril de pétrole par exemple à 1000f, la France prend 880f et la Côte d’Ivoire prend 120f. J’ai jeté un autre coup d’oeil dans les autres contrats des ports, cacao, café, or, diamants et autres. Je me rends compte que c’est le même système de pillage qui existe partout. Un mois après mon élection, j’ai engagé des discussions avec la France pour obtenir des accords égal à égal dans toutes nos affaires. C’est à dire 50% – 50%.

Elle a refusé, j’ai vu des gens rougis comme si on leurs annonçaient une mauvaise nouvelle et cela a été vue comme une menace pour les intérêts français, voilà pourquoi ils m’ont combattu et ont mis au pouvoir leurs amis qui continuent avec les mêmes faux accords jusqu’aujourd’hui.

Sitaki kuamini kama watu waliombeza rais wa awamu ya 4, Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (JK) kwa kupenda kwake kwenda nchi za nje huku madini yetu yakitoroshwa ndio hao leo wameingia kwenye rada za wazungu. Watu hawa wamekuwa kama nyani kwenye shamba la mahindi,bila kupiga kelele kila kona tutavuna mabua. Plan yao ya mtu ambaye angemfuata JK ilifeli, JPM akaingia bila wao kutarajia na kufanya mapinduzi makubwa kwenye madini.

Soma zaidi hapa
Kwenye madini yetu tuhangaike na kitulacho na kiturogacho kikamilifu

Hata kwenye uwekezaji wa madini sisi ni hovyo Duniani. Tunakwama wapi?

Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani

Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360

Sasa tunaona rangi halisi ya mkoloni kwenye vazi la mteja wa Robert Amstaderm ( Mbelgiji). Amejawa tamaa, kubwa sana

Naililia nchi yangu Tanzania.
 
View attachment 1548793

Laurent Gbagbo: ′′ France has driven me out of power at Cause of Ivorian Oil ′′ #InfoSenegal: When I came to power in 2000, I found in the Ivorian oil mining contract that Ivory Coast earn 12 % on a barrel of oil. This means in easy French that if you sell a barrel of oil for example at 1000 f, France takes 880 f and Ivory Coast takes 120 f. I took another look at the other contracts of ports, cocoa, coffee, gold, diamonds and others. I realize this is the same looting system that exists everywhere. A month after my election, I engaged in discussions with France to achieve equal agreements in all of our affairs. That is 50 %-50 %. She refused, I saw blush people as if they were being told bad news and this was seen as a threat to French interests, that's why they fought me and put their friends who continue with the same fake ones chords so far.

Kwa wapenzi wa kifaransa, karibuni hapa

Laurent Gbagbo: « La France M’a Chassé Du Pouvoir À Cause Du Pétrole Ivoirien » #InfoSenegal. Quand je suis arrivé au pouvoir en 2000, j’ai trouvé dans le contrat d’exploitation du pétrole ivoirien que la côte d’Ivoire gagne 12% sur un baril de pétrole. Cela signifie en français facile que si on vend un baril de pétrole par exemple à 1000f, la France prend 880f et la Côte d’Ivoire prend 120f. J’ai jeté un autre coup d’oeil dans les autres contrats des ports, cacao, café, or, diamants et autres. Je me rends compte que c’est le même système de pillage qui existe partout. Un mois après mon élection, j’ai engagé des discussions avec la France pour obtenir des accords égal à égal dans toutes nos affaires. C’est à dire 50% – 50%.
Elle a refusé, j’ai vu des gens rougis comme si on leurs annonçaient une mauvaise nouvelle et cela a été vue comme une menace pour les intérêts français, voilà pourquoi ils m’ont combattu et ont mis au pouvoir leurs amis qui continuent avec les mêmes faux accords jusqu’aujourd’hui.

Sitaki kuamini kama watu waliombeza rais wa awamu ya 4, Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (JK) kwa kupenda kwake kwenda nchi za nje huku madini yetu yakitoroshwa ndio hao leo wameingia kwenye rada za wazungu. Watu hawa wamekuwa kama nyani kwenye shamba la mahindi,bila kupiga kelele kila kona tutavuna mabua. Plan yao ya mtu ambaye angemfuata JK ilifeli, JPM akaingia bila wao kutarajia na kufanya mapinduzi makubwa kwenye madini.

Soma zaidi hapa
Kwenye madini yetu tuhangaike na kitulacho na kiturogacho kikamilifu

Hata kwenye uwekezaji wa madini sisi ni hovyo Duniani. Tunakwama wapi?

Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani

Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360

Sasa tunaona rangi halisi ya mkoloni kwenye vazi la mteja wa Robert Amstaderm ( Mbelgiji). Amejawa tamaa, kubwa sana

Naililia nchi yangu Tanzania.

Lauren Gbagbo alishindwa uchaguzi. Akataka kung'ang'ania madarakani
I stand to be corrected
 
Mtageuza kila wimbi mwaka huu,

Wewe hujui kuwa Gbagbo alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu na akakataa kutoka,ndipo Jeshi likasaidiana na WANANCHI kumtoa Ikul.
Wewe unafikili alipinduluwa au ulikuwa bado hujazaliwa?
 
Vijana tujitahidi kuchimbua hizi story na historia kiundani sio juu juu na kuongozwa na ushabiki..

Historia ya Wazungu na Dunia ikiwemo Africa pia ni pana sana kuliko watu mnavyoichukulia juu juu..

Kifupi, Mchawi wa Africa ni Mwafrica mwenyewe..
Hakuna siku Africa kabla na baada ya uhuru ilikuwa pamoja, tatizo liko pale pale mchawi wa Africa ni Mwafrica...WaAfrica wenyewe wanashindwa kutendeana haki kwa tamaa zao binafsi wakigawanyika wanasingizia mabeberu..
 
Salaam wanaJF.

Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani hawa Wafaransa walijiandaa kufaidika na kuondolewa kwa Gbagbo madarakani.

View attachment 1548793
Laurent Gbagbo na Mke wake baada ya kuondolewa madarakani

Bahati nzuri kwenye pita pita zangu kwenye online books store, nimekutana na kitabu kinachoitwa " free for truth and justice" kilichoandikwa na Gbagbo mwenyewe.

Katika kitabu hiki, Gbagbo amejaribu kuelezea kilichokuwa nyuma ya kuondolewa kwake madarakani kwa msaada wa Wafaransa na washirika wao.

Kwa kifupi, hii hapa maelezo yake kama yalivyofupishwa in InfoSenegal

Laurent Gbagbo: ′′ France has driven me out of power at Cause of Ivorian Oil ′′ #InfoSenegal: When I came to power in 2000, I found in the Ivorian oil mining contract that Ivory Coast earn 12 % on a barrel of oil. This means in easy French that if you sell a barrel of oil for example at 1000 f, France takes 880 f and Ivory Coast takes 120 f. I took another look at the other contracts of ports, cocoa, coffee, gold, diamonds and others.

I realize this is the same looting system that exists everywhere. A month after my election, I engaged in discussions with France to achieve equal agreements in all of our affairs. That is 50 %-50 %. She refused, I saw blush people as if they were being told bad news and this was seen as a threat to French interests, that's why they fought me and put their friends who continue with the same fake ones chords so far.

Kwa wapenzi wa kifaransa, karibuni hapa

Laurent Gbagbo: « La France M’a Chassé Du Pouvoir À Cause Du Pétrole Ivoirien » #InfoSenegal. Quand je suis arrivé au pouvoir en 2000, j’ai trouvé dans le contrat d’exploitation du pétrole ivoirien que la côte d’Ivoire gagne 12% sur un baril de pétrole. Cela signifie en français facile que si on vend un baril de pétrole par exemple à 1000f, la France prend 880f et la Côte d’Ivoire prend 120f. J’ai jeté un autre coup d’oeil dans les autres contrats des ports, cacao, café, or, diamants et autres. Je me rends compte que c’est le même système de pillage qui existe partout. Un mois après mon élection, j’ai engagé des discussions avec la France pour obtenir des accords égal à égal dans toutes nos affaires. C’est à dire 50% – 50%.

Elle a refusé, j’ai vu des gens rougis comme si on leurs annonçaient une mauvaise nouvelle et cela a été vue comme une menace pour les intérêts français, voilà pourquoi ils m’ont combattu et ont mis au pouvoir leurs amis qui continuent avec les mêmes faux accords jusqu’aujourd’hui.

Sitaki kuamini kama watu waliombeza rais wa awamu ya 4, Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (JK) kwa kupenda kwake kwenda nchi za nje huku madini yetu yakitoroshwa ndio hao leo wameingia kwenye rada za wazungu. Watu hawa wamekuwa kama nyani kwenye shamba la mahindi,bila kupiga kelele kila kona tutavuna mabua. Plan yao ya mtu ambaye angemfuata JK ilifeli, JPM akaingia bila wao kutarajia na kufanya mapinduzi makubwa kwenye madini.

Soma zaidi hapa
Kwenye madini yetu tuhangaike na kitulacho na kiturogacho kikamilifu

Hata kwenye uwekezaji wa madini sisi ni hovyo Duniani. Tunakwama wapi?

Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani

Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360

Sasa tunaona rangi halisi ya mkoloni kwenye vazi la mteja wa Robert Amstaderm ( Mbelgiji). Amejawa tamaa, kubwa sana

Naililia nchi yangu Tanzania.
WEWE NAKUFANANISHA KAMA KUWADI WA BIASHARA HURIA, KAMA HUNA HOJA ZA MSINGI NI BORA UKANYAMAZA TU.
 
Toeni ujinga wenu hapa, huyu alishindwa uchaguzi, ila kwa kutumia hizi tume bandia za uchaguzi akataka kusalia madarakani. Kama wafaransa ni wabaya kiasi hicho mbona alikimbilia kuishi Ufaransa baada ya kutolewa madarakani? Ila pia kama mabeberu walikuwa na shida nae mbona walimwachia kwenye kesi za uhalifu bidi ya binadamu? wa Ivory waliompiga mtaani huko Ufaransa baada ya kumkuta kwenye mgahawa nao walitumwa na mabeberu? Msiwe mnatuletea hoja za kuunga unga.
 
Bado tunatawaliwa, Africa inavuja vibaya!!!
Pia Gbabo alipinga ufaransa kulipwa kodi ya jengo la ikuli Abidjan euro million 2 kila mwezi. Mfaransa is so much wicked kila mwezi anachukua kodi million mbili kwenye iyo ikulu. Akasmua akajenge ikulu mji mkuu mpya wa Yamasoukrou.

Vipenzi vya Mfaransa no Omar Bongo, Outarra Rais wa Sasa wa ivory coast na abdoulaye Wade aliyekua Rais wa Senegal yani hao ndio masnitch Mfaransa anawatumia kupata information.

Gaddafi alipoanzisha Benki ya Africa ndio alisign official kifo chake. Rais wa Gabon, Senegal wakamtonya Sakorzy mpango yote na iyo Benki makao makuu ilikuwa iwe Yaounde Cameroun.

Leo hii Niger inafaidisha nishati ya nyuklia ulaya kwa ufaransa kuiexploit uranium bila huruma huku Niger ikiwa maskini wa kutupwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom