50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

Pamoja na kua sina dini ila ndugu zangu waislam ni watu wa ajabu sana na dini yao.

Sitaki kusema mengi ila unaweza kuona kama hii mada imeletwa na muislam unaweza kujua wengi ni watu wa namna gani.
 
Vipi kwa nyie waislamu kuna watu wanaoamini katika Uhuru wa kuabaudu kama sisi wakristo?

Maana nasikia kama mtu akiachana na uislama mmeamlishwa mmutoe uhai.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima ujue kuna tofauti kati ya Dini na wafuasi, jambo kubwa ni kujua je dini ya uislamu inasema nini juu ya uhuru wa kuabudu, Mtume Muhammad (saw) aliwatendea vipi watu wa dini zingine (mayahudi na wakristo nk) katika uhai wake?!!, baada ya kujua hicho ndipo kwanza utahukumu dini ya kiislamu na baadaye utahukumu waislamu.

Uislamu ni dini inayotoa uhuru mkubwa wa watu wa dini mbalimbali kuabudu bila bughudha kama wanatokea waislamu wanaifanya kinyume na hapo basi ni jambo la kusikitisha sana.
 
Mtoa mada umetoa uzi mzuri but why unaukoleza ili ulete uhasama wa kidini?,ni kweli msikiti mmoja wa hapo Kiwi country umeshambuliwa,ILA unaposema waisalam wameshambuliwa hii ni unafiki na uchochezi,kwanza uchunguzi bado haujaleta hasa nani kashambulia na akina nani wamepoteza maisha katika shambulizi hilo ambalo watu zaidi ya 40 inawezekana wamepoteza maisha,na kuna uwezekano mkubwa washambuliaji ni waisalam wenye siasa kali,but ngoja tujiulize swali gumu hapa;kuna matatizo makubwa pale Syria(huu ni mfano mmoja tu)why wengi wao wanakimbilia huko western countries why hawakimbilii nchi za jirani kama Saudi au Iran etc etc?,na muhimu unapokuwa in a host country ni LAZIMA UFUATE UTAMADUNI WAO NA SHERIA ZAO,kama huwezi kaa kwenye nchi yako,kama wewe ni shujaa pigania haki yako ndani ya nchi yako sio kujifanya shujaa wakati upo kwenye comfort zone.
Bogus,.go back to skull again

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mashambulio yanayofanywa na waislamu?

Point hii ndio inayodhihirisha afya mbaya ya akili, katika post yangu sijasema waislam wameshambuliwa na ukristo, ingawaje alie shambulia ni mkristo, niambie ni wapi UISLAM umefanya shambulio?
ILA NAKUOMBA KTKA KUJIBU HILO TULIZA AKILI YAKO USIKURUPUKE
Soma swali kwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwà tu hao Waislam, si magaidi tu. Wana faida gani kuwepo?

Sioni tatizo hapo, tena hao waliouawa na majeruhi ni kidogo sana. Iltakiwa wafanyiwe kama wanavyofanyiwa Iraq au Afghanistan. Hao raha ni kuwauwa kwa maelfu.
Mkuu Umesikia Dai la Hao Jamaa... Wanataka Mji mkuu wa Wakristo wanaukalia Waturuki... i hope huwa Mnawaita Wakristo kuwa ni Wagalatia... so jamaa wamekomaa wanataka kudai Mji wao na lile kanisa kuu lililogeuzwa Msikiti msalaba urejeshwe haraka la sivyo ama balaa... I hope madai yao sawa na ya Wapalestina
 
Wana inferiority complex waislamu ndo Jamii dhaifu kuliko jamii zote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaulize U.S.A kwanini kwenye kampeni zao wanatajwa Waislamu(Middle East)? Badala ya kudeal na nchi yao?
Halafu jiulize hivi kwanini World Trade Center walilipua wamarekani wenyewe akawasingizia Waislamu
(Osama Bin Laden) Duniani kote.?
Nenda Google kaandike Neno WTC halafu zitakuja photo za picha ya ndege mbili zikiwa angani zinaenda kulipua/kugonga WTC(World Trade Center),Swali lakujiuliza kutokana na uhimara wa Jengo kama lile zinaweza kugongwa ndege mbili angani na kulipuka?

FANYA VITU KWA UCHUNGUZI UGUNDUE PROPAGANDA ZINAZOENDESHWA DUNIANI SIYO UNAKAA MNADANGANYWA UISLAMU MBAYA WAKATI HAKUNA MNACHOJUA NYUMA YA PAZIA DHIDI YA WAMAGHARIBI DUNIANI.
 
Acha utoto.

Tatizo hata shule hamtaki.
 
Ndo mnavyodanganyana misikitini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom