50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

Tangazo la Serikal linataka Waislam Wasiende Kwenye Msikiti wowote kuabudu kuepuka Mashambukizi sio Mamlaka kuongeza Ulinzi maeneo ya Ibada ili kuzuia Mashambulizi

Uislam utakuwa kwa haraka Sana New Zealand katika Siku Za karibuni trend inaonesha hivyo
Hauwezi kukua, Kwa Taarifa yako ni intelligence ya serikali ndo imewalamba risasi hao waislamu, wakikaidi na kwenda tena msikitini watauawa tena Kwa risasi na kisha serikali itasema kuwa tuliwaonya wasiende misikitini Kwa usalama wao wakapuuza, wazungu na Uislam ni maji na mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khofu kubwa walionayo Makafir ni kuenea UISLAMU EUROPE kwa kasi kubwa ulaya hivi sasa ishaona NURU YA UISLAM hvyo huna vya kuwaambia makanisa yananunuliwa na kugeuzwa Misikiti nyinyi kina GWAJIMA mtakufa na chuki zenu nenda kanisani Ulaya yote utakuta vizee kuanzia Age ya 80!
Vijana ulaya hawataki upuzi wa ukristo wala nini Ukristo umebaki Africa pekee coz hawaongoz na ukweli wala Elimu chuki zimetamalaki ktk nafsi zao Akili zao kama Nguruwe wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa usifie hao makafiri kwa ustaarabu kuruhusu uislam uingie nchini mwao laiti kama wangefanya kama washenzi waarabu kwa kuwatesa na kuwaua wakristo sijui kama kuna msikiti ungeingia marekani.

Kwa taarifa yako wakristo hawana time na uislamu ndo maana wamewapa Uhuru katika nchi zao.

Sasa sijui unazungumza nini eti Mtu amekukaribisha amekupa Uhuru katika nchi zao harafu wawe na hofu?

Mkuu kuna wale wenye hofu na kuna wale ni timeless, wale wenye khofu ndio kama huyo aliyewapiga risasi msikitini. Kwa hiyo katika wazungu kuna aina mbili, wale wasiopenda wageni/watu wa dini isiyokuwa yao (the conservatives), na kuna wale wanaoamini juu ya uhuru wa kuabudu na kuchangamana na watu wa dini na wa mataifa mengine.

Na hali hiyo inapatikana duniani pote ila inategemea na magnitude ya ni upande gani wa hali hizo mbili ni "prevalent".
 
Tukio la mauwaji ya waislam wahamiaji nchini Newzeland kumechochoea makundi ya wenyeji kuukubali uislam na kuingia ktk dini hiyo, katika tukio hilo walionekana wenyeji na wageni wote wakilia kwa uchungu wa unyama waliofanyiwa waislam huko,
wakijazana sehemu ya tukio msikitini na hii ndio ajabu ya dini hii huko ulaya kila wanapouliwa huko hushawishi makundi mengine ya wasiokuwa waislam kujiunga na uislam na kufanya dini ya uislam kukuwa kwa kasi kubwa sana huko ulaya kila kukicha, haikutegemewa kama Waziri mkuu wa Newzeland iko siku angeweza kuvaa HIJABU kwa mapenzi yake na kutokwa na machozi akiungana na waiislam, haikutarajiwa kundi kubwa la wa newzeland kufika msikitini na kulia kwa uchungu na kutowa shahada wakijiunga na uislam,lakini tukio hilo la kinyama limeongeza idadi ya waislam new zeland, twaweza kusema Allah amewafariji waislam wale waliofiwa na ndugu zao kwa kuwaongezea idadi yao kwa wenyejiwa wapele ili upweke na ugeni uwaondeke, pila shaka hao wageni wataowana na nduguzao wenyeji na kizazi chao hakitakuwa cha kigeni tena,
IMG-20190317-WA0015.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna wale wenye hofu na kuna wale ni timeless, wale wenye khofu ndio kama huyo aliyewapiga risasi msikitini. Kwa hiyo katika wazungu kuna aina mbili, wale wasiopenda wageni/watu wa dini isiyokuwa yao (the conservatives), na kuna wale wanaoamini juu ya uhuru wa kuabudu na kuchangamana na watu wa dini na wa mataifa mengine.

Na hali hiyo inapatikana duniani pote ila inategemea na magnitude ya ni upande gani wa hali hizo mbili ni "prevalent".
Vipi kwa nyie waislamu kuna watu wanaoamini katika Uhuru wa kuabaudu kama sisi wakristo?

Maana nasikia kama mtu akiachana na uislama mmeamlishwa mmutoe uhai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio la mauwaji ya waislam wahamiaji nchini Newzeland kumechochoea makundi ya wenyeji kuukubali uislam na kuingia ktk dini hiyo, katika tukio hilo walionekana wenyeji na wageni wote wakilia kwa uchungu wa unyama waliofanyiwa waislam huko,
wakijazana sehemu ya tukio msikitini na hii ndio ajabu ya dini hii huko ulaya kila wanapouliwa huko hushawishi makundi mengine ya wasiokuwa waislam kujiunga na uislam na kufanya dini ya uislam kukuwa kwa kasi kubwa sana huko ulaya kila kukicha, haikutegemewa kama Waziri mkuu wa Newzeland iko siku angeweza kuvaa HIJABU kwa mapenzi yake na kutokwa na machozi akiungana na waiislam, haikutarajiwa kundi kubwa la wa newzeland kufika msikitini na kulia kwa uchungu na kutowa shahada wakijiunga na uislam,lakini tukio hilo la kinyama limeongeza idadi ya waislam new zeland, twaweza kusema Allah amewafariji waislam wale waliofiwa na ndugu zao kwa kuwaongezea idadi yao kwa wenyejiwa wapele ili upweke na ugeni uwaondeke, pila shaka hao wageni wataowana na nduguzao wenyeji na kizazi chao hakitakuwa cha kigeni tena,View attachment 1048867

Sent using Jamii Forums mobile app
Je mashambulio yanayofanywa na waislamu?
 
Back
Top Bottom