50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

Ingekuwa makanisa ndiyo yameshambuliwa, sasa hivi huu uzi ungekuwa umejaa kashifa kwa waislamu
Yaani haka kashambulio kamoja tu ndio kanafanya upayuke namna hii!! Vuta kumbukumbu ya mauaji ya ma alshabaab na alqaida, answar l'islamia, Mujahidin, na makundi mengine halafu uhesabu wanaouawa kila siku huko Somalia na Kenya!! Haya yote chanzo ni hao hao wafia dini, wameua sana watu wasio na hatia, inabidi sasa dunia irudi mezani kujadili kila mtu aachwe aabudu anachoona kinamfaa. "Lakum dinnu kum, wal, ya dinni"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha kuona watu wana comment chuki kuhusu dini jambo ambalo Tanzania hatuna watu tunaishi zaidi ya ndugu tuna marafiki tumeshibana na kuheshimiana na dini zetu tofauti. Serikali isikae kimya kabisa hizi kauli za chuki ni hatari sana na sheria za mitandao zichukuwe mkondo maana ni hatari kwa nchi. Tushindane kisiasa sijui michezo lakini tuache ushabiki wa mambo kama haya maana hakuna sababu yoyote mtu wa dini moja kumuuwa wa dini nyingine hakuna sababu kabisa wewe abudu unavyotaka Mungu yupo. Watanzania tusiingie katika mtego huu wa kijinga hatuna udini, ukabila tuko pamoja katika mambo mengi iwe misiba au harusi tunakuwa pamoja. nawaomba kila baya likemewe bila kujali upande gani umefanya.
 
Death toll rises to 49
Je kama washambuliaji ni waislam utasema nn?maana mara ngapi tunasikia manuwana?

Maana umekuja na story kana kwamba unajua kabisa wakristo ndio wameshambulia,,
Wapi wametaja wakiristo ? Kwani ni siri , mshambuliaji ni mzungu muastralia amejulikana, YY na wenzake watatu wamekamatwa
 
Two Muslim places of worship hit by automatic weapon fire with 'a number of fatalities' as police arrest four suspects

Gunmen entered two mosques and began shooting in New Zealand's city of Christchurch on Friday killing at least 40 people - an unprecedented attack in the quiet country in the Pacific.

New Zealand's Prime Minister Jacinda Ardern told a news conference that 20 others were in serious condition after the "terrorist" attack.

Police Commissioner Mike Bush said four suspects were in custody - three men and a woman.

Sam Clarke, a reporter with TVNZ, spoke with several people inside the Masjid Al Noor mosque when the shooting began. He told Al Jazeera a man entered with an automatic weapon and began firing.

"A gunman - dressed in black with a helmet carrying a machine gun - came into the back of the mosque and started firing into the people praying there," said Clarke.

View attachment 1046036

Source ; Aljazeera
So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani haka kashambulio kamoja tu ndio kanafanya upayuke namna hii!! Vuta kumbukumbu ya mauaji ya ma alshabaab na alqaida, answar l'islamia, Mujahidin, na makundi mengine halafu uhesabu wanaouawa kila siku huko Somalia na Kenya!! Haya yote chanzo ni hao hao wafia dini, wameua sana watu wasio na hatia, inabidi sasa dunia irudi mezani kujadili kila mtu aachwe aabudu anachoona kinamfaa. "Lakum dinnu kum, wal, ya dinni"

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa alshabaab kwani wanapiga is dini ? Pia kwani wameshambulia sehemu ya Ibada, wale wanaua watu WA dini zote
 
Two Muslim places of worship hit by automatic weapon fire with 'a number of fatalities' as police arrest four suspects

Gunmen entered two mosques and began shooting in New Zealand's city of Christchurch on Friday killing at least 40 people - an unprecedented attack in the quiet country in the Pacific.

New Zealand's Prime Minister Jacinda Ardern told a news conference that 20 others were in serious condition after the "terrorist" attack.

Police Commissioner Mike Bush said four suspects were in custody - three men and a woman.

Sam Clarke, a reporter with TVNZ, spoke with several people inside the Masjid Al Noor mosque when the shooting began. He told Al Jazeera a man entered with an automatic weapon and began firing.

"A gunman - dressed in black with a helmet carrying a machine gun - came into the back of the mosque and started firing into the people praying there," said Clarke.

View attachment 1046036

Source ; Aljazeera
Poleni sana ndugu zetu,
Dunia ya leo ,ukiwa Mwafrika mweusi,Latin,au Islam,kwenye kuishi nchi za magharibi ni tabu sana,ni wakati muhafaka jamii hizi,kuboresha hari zao za kiuchumi,
Hata Christians weusi wanabaguliwa wakiwa Israel,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terrorism is not a faith, it's an act. Unaona hii reaction ya leo imagine ingekua Muslims wamefanya kila Media ingekua BREAKING NEWS Terrorist attack in New Zealand. But now they are quite.
Labda more muslims wakiuawa people will have new perspective kuhusu ugaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wangekuwa wauwaji wa upande mwingine wangeuwawa hapo hapo lakini hawa wameachiwa waendelee kuuwa halafu wamewakamata
Watahukumiwa na watatoka
Double standards hizi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom