50 highest paid players in world football

Hii mishahara..najiuliza clubs zinapata wapi pesa hizi za kuwalipa ma top stars? Ndio maana mchumi Wenger ametabiri kuwa kunauwekana wa timu nyingi kubwa kufilisika soon!!
 
Hii mishahara..najiuliza clubs zinapata wapi pesa hizi za kuwalipa ma top stars? Ndio maana mchumi Wenger ametabiri kuwa kunauwekana wa timu nyingi kubwa kufilisika soon!!

Huyo mzee atakufa na kijiba cha roho...
Timu kama AC Milan inalipwa na BWIN, inalipwa na Adidas, kuna mapato makubwa wanayoyapata kutokana na mapato ya viingilio, timu ina wanachama, timu inamilikiwa na mtu mwenye pesa mingi saaana muheshimiwa Silvio Berlusconi, kuna biashara kama ya kuuza jezi na vifaa vya michezo, kuna dili kama lile la kumuuza Kaka, na vyanzo vingine vingi vinavyofanya timu isimamame.

Forza Milan
 
Mbona Beckham mshahara umepungua sana?
mshahara huo ni ule ambao ac milan ndio wanamlipa na pia la galaxy wanamlipa huo, kitu kinachofanya mshahara wake uwe mkubwa ni football academy yake ya marekani na pia shirikisho la soka la marekani linamlipa kwa kutangaza soka.
La galaxy wasingeweza kumlimpa £25m peke yao.
 
mkuu umekose kitu kimoja iyo orodha inashindwa kutoa picha nzuri, ungetoa fedha kiujumla wanazoingiza wachezaji, kwa mfano beckham, terry, del piero, ribbery wako juu ktk total ya mapato ya wachezaji, kwani wengine pesa wanazopata nje ya mshahara ni kubwa kuliko mshahara wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom