50 cent ataja mbinu tano za kukufanya uache kupiga punyeto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50 cent ataja mbinu tano za kukufanya uache kupiga punyeto

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 6, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO
  [​IMG]
  Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita!

  Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. ItÂ’s a dirty secret!

  Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
  Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.
  [​IMG]
  [​IMG]

   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wengine ni walevi tuu kama wa vileo!
   
 3. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,663
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Yeye mwenyewe kaacha?:juggle:
   
 4. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hii kitu kuacha shughuli pevu
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,667
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe ni mtaalamu wa hii kitu labda aseme anawaonea wivu wenzake kuwa watampita.
   
 6. k

  kanyabukogoto Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu aliniambia ukiona mtu viatu vyake pale mbele vinaangalia juu baada ya kuvivaa muda flani hata kama haviko hivyo ujue ni mpiga puri mzuri maana huwa anasimamia vidole hasa akiwa bafuni.
   
 7. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwanza niwaone madisciple wa hiki kitu
   
 8. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwanza niwaone ma-disciple wa hiki kitu
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Hivi mutual masturbation na kungonoana kwa kutumia kondomu si ni kama kitu kile kile tu?
   
 10. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 3,427
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Kuna siku nilisikia BBC kuna chama chao hapa Tanzania kinaitwa CHAWAPUTA,chama cha wapiga punyeto Tanzania!
   
 11. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jaribu uone usisikie la kuambiwa. Punyeto tamu, faida kibao! Ruksa hata kama una demu (kubadili ladha)
  Najivunia kupiga punyeto:
  1. It is free of charge (utelezi wowote kidogo tu unatosha)
  2. It is 100% safe (hakuna cha AIDS, kaswende, kisonono, ukurutu, hepatitis, clamidia wala nini sijui)
  3. It is always available (hakuna sijui leo sitaki naumwa, niko mwezini, sijisikii, nimechoka, hujaninunulia gari, hujanilipia kodi ya nyumba)
  4. Kitu mnato wewe mwenyewe tu!
   
 12. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,390
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  ha ha haaaa...mkuu umetisha!it is really true..
   
 13. piper

  piper JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuuuuuu!!!!!!! mambo ya puri
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Sielewi kwanini watu wanapiga nyeto wakati wasichana ni wengi kuliko wanaume
   
 15. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kiongozi hiyo namba 4, Ni wewe tu maana ukitaka mnato au bwawa unapata!
   
 16. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,743
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180

  Dah kuna swahiba wangu viatu vyake viko hivyo
   
 17. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,045
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  2. It is 100% safe (hakuna cha AIDS, kaswende, kisonono, ukurutu, hepatitis, clamidia wala nini sijui)
   
 18. h

  halimbaya Member

  #18
  Dec 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  domo zito baba UTIMBULO unawatesa
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,082
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hizi ni jitihada zako binafsi za kujaribu kuhalalisha huo mchezo wako haramu,acha mara moja,its not gonna help brother
   
 20. gody

  gody JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2013
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145


  sio bure wewe ndo walewale waliotumwa kuhamasisha haki za wanawake
   
Loading...