50/50 kwangu hapana, gander equality ni ujinga

Ata marekani, China, saudia, afrika kusini, hizo mambo zipo kwenye makaratasi tu.
 
Napinga 50/50 saana tu
Ila kauli Yako waje na pedi sijaelewa mimi nnachojua wanaokataa 50/50 wanajua vyema gender roles ila kidogo acha kuwadharau wanawake
 
UN pia wanatetea ushoga na nchi yako imetia sign vipi umeshatoa tigo yako pia
nimegundua wewe ni mpuuzi au unavuta bangi
hivi ungezaliwa ukamkosa baba yako akabaki mama yako tu ungesomeshwa kwa lazima ba sisi kina Baba wa nje?
Hao kina mama wanaouza Vitumbua barabarani, kujiuza kwenye mabaa, kuingia kwenye siasa wangefuata mtindo wako au Dini usiyoijua inayowakandamisa ungekuwa hapo, na kubofya.
Muheshimu mama yako asingeingia mtaani kutafuta pesa wakati baba yako anashinda vilabuni au vijiweni usingeropoka mambo ya ushoga km mwanamume wa tigo
Mama ni mama na hata Binti yako ukijampata mtetee apate 50/50 ilialee Taifa, kuna Nchi kibao masingle mother ndio wanaolipwa Unemployment Benefit ndipo wanapokuta kuwalea wanaume mabwege km ninyi
Mm ni mwanamume lkn sikubaliani hata na Dini yangu itakapomtenga au kumnyanyasa mwanamke
 
Mama yako amekutotoa kupitia tigo yake ndio maana una madharau kwa wanawake
umekuwa punga unataka kuwanyang'anya wanawake madume heshimu Mama yako
Mm sio dogo mm ni Babu au Baba yako na bora ningemwaga chini aliponipa mama yako, sikujua angetotoa laana kum
 
Back
Top Bottom