5 Ways Jinsi Poor Man Mentality Inavyokuzuia Kutengeneza Pesa Kwenye Hii Life. Na Jinsi Yakubadilika.

Amejiita Good au umemchokonoachokonoa hata Mo ukimchokonoa atasema yeye Good Hakuna anayetaka dharau...wewe jamaa ni negative sana.

Kabisa mkuu.

That guy is full of negativity and bullshit.

Mimi sijamlazimisha asome.

Naona anajisikia vibaya akisikia vijana wanajitahidi kutafuta pesa kwenye hii life.

Huyu jamaa lazima atakuwa witch.
 
Ngoja nikuache maana umeanza matusi sasa ?

Wewe unaandika kitu hataki challenge unatulazi.isha wote tuamini maneno tu

Eti negatively bullshit witch ni wewe mwenyewe kijana

Mtu anakuchallenge kidogo umeshaanza matusi be atrong jibu vizuri matusi hayakupi nguvu

Ontario nakupitia challenge hatoi matusi kama wewe

Hongera sasa wewe mtakafi

Be strong challenge zinakufanya unakiwa strong no everyone will say yes

Hivi huoni ukisema jina la kita unaongeze soko watu wakinunua wakishakifahamu
 
Naona Bra bra Za ontario zinajirudia Apa, Nasikia halafu apa anyway ngoja tu follow uzi na wewe mwenyewe.
 
Get life man.

I think you are stupid to think im going to share my personal info with a random people.

You are full of negativity and doubts.

If you are not going to bring up some constructive points I won’t reply.

Is that fair with you?
Huyu Mtu ananitukana tu jamani

Hapa tunao veeified members kabisa
Kuna Yeriko Nyerere na wengine

Baasi hata hisitoshe bado hujasema vizuri


Ulianzaje biashara ? ( ulianzaje anzaje ???)
Mtaji ulipata wapi?
Personal life yako ikoje?
Are you married or not ?
How many years old are you?

Umeshafanya biashara ngapi mpaka sasa hivi zikafa ?
Partership wako mlifahamiana vipi?

Ebu soma uzi wa Ontario utaelewa mengi?
Be specific maneno na vitendo nitofauti ?
How do you manage to run some many business?

Umeshawahi kupata risk?

Samahani kama nimekuuzi kusu personal information na ninaona unauzi chacha anatakiwa ujipambanue tuekuelewe vizuri

Haya maneno ulioandika hapa sio mapya ?wala mageni ?

Kwa kuwa nikwambia kuhusu personal information umekata hakuna shida sikuwa na plan mbaya wengine huwa wanajitambulisha kabisa hapa natuwasoma vozuri kabisa


Usichukuie kwa hilo i am sorry

Ila wengi ndio huwa wanafanya hivyo unaoneka unamadini ukijielezea zaidia njisi unatengeneza hela kwenye kampuni zako

Online business how you started ?
Changamoto unazozipa huko?

Utakuwa umetoaa mwanga zaidi

I am sorry kwa hilo
 
Back
Top Bottom