5 Star Hotel Saudi Arabia Yatumika Kama Jela

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
image.jpeg
Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald Trump alipofikia wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni nchini humo. Watuhumiwa waliotiwa nguvuni ni pamoja Bilionea Maarufu Prince Alwaleed bin Taalal, wana wa wafalme, maofisa wakuu wa serikali na wafanyabiashara maarufu. Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema nchi hiyo imepoteza dola bilioni 100 kwa muda wa miaka kumi iliyopita kwa vitendo vya ufisadi. Saudi Arabia inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya bei ya mafuta kushuka kwa muda mrefu.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    77.6 KB · Views: 81
  • image.jpeg
    image.jpeg
    95.5 KB · Views: 81
Hapo watu woote wa tandale...buguruni....temeke...n.k wataomba kwenda front wakafungwe huko kma hali ni hio
 
View attachment 627550 Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald Trump alipofikia wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni nchini humo. Watuhumiwa waliotiwa nguvuni ni pamoja Bilionea Maarufu Prince Alwaleed bin Taalal, wana wa wafalme, maofisa wakuu wa serikali na wafanyabiashara maarufu. Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema nchi hiyo imepoteza dola bilioni 100 kwa muda wa miaka kumi iliyopita kwa vitendo vya ufisadi. Saudi Arabia inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya bei ya mafuta kushuka kwa muda mrefu.
Hata Mantiki ya Neno Jela haipo hapo. Nchi za Kiarabu bwana
 
Wana jitu lao linaitwa Al Beshi, kazi yake kukata watu vichwa hadharani, sasa wewe ombea ukafungwe huko afu ukutwe na hatia.......hiyo nchi siipendi kama nini
 
Huo ukoo itakuwa hawapendani,mtu anamfunga mjomba,binamu,ba mkubwa saa ingine hata kuuliwa,
 
Wana jitu lao linaitwa Al Beshi, kazi yake kukata watu vichwa hadharani, sasa wewe ombea ukafungwe huko afu ukutwe na hatia.......hiyo nchi siipendi kama nini
huipendi una yako tu..huenda kwa kuwa imeendelea kuliko kwenu mnakojifanya mmesoma elimu bora..na kukinzana na ule ujinga mnaolishana kwamba alipokaa Mwarabu maendeleo hakuna
 
Back
Top Bottom