Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Aisee waje wanikamate na mimi wanipeleke huko,wanachagua makosa ya kifisadi tu au kosa lolote mkuu.
Hapo hata nikifungwa maisha poa tu.Hiyo jela nimeipenda
Hata Mantiki ya Neno Jela haipo hapo. Nchi za Kiarabu bwanaView attachment 627550 Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald Trump alipofikia wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni nchini humo. Watuhumiwa waliotiwa nguvuni ni pamoja Bilionea Maarufu Prince Alwaleed bin Taalal, wana wa wafalme, maofisa wakuu wa serikali na wafanyabiashara maarufu. Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema nchi hiyo imepoteza dola bilioni 100 kwa muda wa miaka kumi iliyopita kwa vitendo vya ufisadi. Saudi Arabia inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya bei ya mafuta kushuka kwa muda mrefu.
Wakikukamata wewe wanakukata kichwa na jambiaAisee waje wanikamate na mimi wanipeleke huko,wanachagua makosa ya kifisadi tu au kosa lolote mkuu.
huipendi una yako tu..huenda kwa kuwa imeendelea kuliko kwenu mnakojifanya mmesoma elimu bora..na kukinzana na ule ujinga mnaolishana kwamba alipokaa Mwarabu maendeleo hakunaWana jitu lao linaitwa Al Beshi, kazi yake kukata watu vichwa hadharani, sasa wewe ombea ukafungwe huko afu ukutwe na hatia.......hiyo nchi siipendi kama nini