4WD imeandikwa kioo cha kujitazamia cha dereva cha IST, na gari haina 4WD, nini maana yake hii?

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wakuu nini maana ya hicho kijapani na 4wd iliyoandikwa hapo?
20170517_164249.jpg
20170517_164304.jpg
20170517_164331.jpg
 
specs zinaendana kwa ist zote model hiyo, isipokua yenye 4x4 inakua na izo difference zilizoainishwa, yaweza kua ground clearance, turning radius etc
zipo ist zenye 4x4 model zote mbili.
kwa ya zamani inakua na engine ya 1nzfe 65
 
Back
Top Bottom