4U Movement na M4C zina malengo sawa?, maana wamepatana kwa muda mfupi

Nguno Buchenja

Senior Member
May 3, 2012
147
53
Nimeshangazwa na jinsi sera na mitazamo ya harakati za kimakundi katika ya 4U Movement na M4C zilivyokubaliana mapema mara tu baada ya kambi mbili hizi kuungana.

Je Kambi hizi zilikuwa zina mawasiliano ya muda mrefu au imetokea tu?

Nipeni ufahamu wadau
 
Lowassa aagize makundi yake ambayo yamekuwa yakimuunga mkono (hasa yale ya vijana) na ambao wamejiunga CDM kukubali kuwa chini ya uongozi wa CDM mara moja. Haiwezekani ndani ya chama kuwa na chama halafu chama kiwe kimoja. Walitoka CCM na wamejiunga CDM na waagizwe kujiunga kweli. Vinginevyo, kutakuwa na kampeni ya wana CCM ndani ya CDM kumpeleka Lowassa Ikulu - by Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Kwan Lowassa alivyokaribishwa Ukawa na kukabidhiwa kupeperusha bendera ya Ukawa ilikua mawasiliano ya mda mrefu au imetokea tu tuanzie hapo
 
Wewe ndiye unayeshangaa. Mbona wameelewana kitambo kwa kuwa wote wanatoka sehemu moja.
 
Ugeni Unaoingia CHADEMA Ni Neema Hasa Kipindi Hiki Muhimu Chama Kinapokuwa Kipo Vitani dhidi ya Mkoloni Mweusi.

CHADEMA/UKAWA Mkiwa Mnaongoza Vita Hii TAKATIFU, Ni Kujipanga Vizuri , Kuweka Mikakati ya Kuapokea Wageni na Pia Kukaa Nao

Hata Kuwainterview Kujua Strenghs zao Ili Kuwakabidhi Slaha Staiki. CHADEMA Najua Amkutegemea Wageni Lakini Ndio Neema Tayari

IMshafika. Wekani Kamati Maalum (Viongozi maalum) Kwa ajiri ya Kuwapokea Wageni Watokeao Upande wa Adui (Mkolon Mweusi)
 
mkuu tumeshaaminishwa huu ni mpango wa Mungu!!!!!!! Usihoji miujiza ya mwenyeez Mungu utalaaniwa
 
Nimeshangazwa na jinsi sera na mitazamo ya harakati za kimakundi katika ya 4U Movement na M4C zilivyokubaliana mapema mara tu baada ya kambi mbili hizi kuungana.

Je Kambi hizi zilikuwa zina mawasiliano ya muda mrefu au imetokea tu?

Nipeni ufahamu wadau

Unahusikaje?
 
Back
Top Bottom