4G Smartphone Kitochi, Tigo/ Voda?

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Wakuu Habari za Weekend!

Ninaimani humu ndani wapo waliokwisha nunua hizi simu, Sasa naomba kupewa hints na mimi nikanunue yangu.

Mwenye uzoefu nazo tafadhali.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu Habari Za Weekend!

Ninaimani humu ndani wapo waliokwisha nunua hizi simu, Sasa naomba kupewa hints na mimi nikanunue yangu...

Mwenye uzoefu nazo tafadhali...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Cha Voda ni kizuri .
Kina feature nzuri sana mfano:
Gps
Wifi
Wifi hotspot (internet sharing)
4g
Speed nzuri sana ya mtandao
Kinaruhusu kuimport majina toka gmail
Chaji inakaa ya kutosha
Kinatumia laini mbili. (moja 4g na line 2 ni 3g)
Kamera ni ndogo(ila kwa bei hiyo ni sawa)
Kina whatsapp inayofanya kazi vizuri ila haina whatsapp calls
Kuna kaios store kudownload app nyinginezo

Note: kwa app muhimu ni' Whatsapp na Facebook pekee

Bei ni' 45k

Nadhani ungeweka na maswali yako ili tufananue zaidi

"Ruzige"
 
Asante... Vipi na hizo slot za line ni lazima line #1 iwe ni voda? Na slot line #1 ndiyo yenye 4G tu?

Cha Voda ni kizuri .
Kina feature nzuri sana mfano:
Gps
Wifi
Wifi hotspot (internet sharing)
4g
Speed nzuri sana ya mtandao
Kinaruhusu kuimport majina toka gmail
Chaji inakaa ya kutosha
Kinatumia laini mbili. (moja 4g na line 2 ni 3g)
Kamera ni ndogo(ila kwa bei hiyo ni sawa)
Kina whatsapp inayofanya kazi vizuri ila haina whatsapp calls
Kuna kaios store kudownload app nyinginezo

Note: kwa app muhimu ni' Whatsapp na Facebook pekee

Bei ni' 45k

Nadhani ungeweka na maswali yako ili tufananue zaidi

"Ruzige"

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mi natumia cha tigo (T-SMART) Kizuri kwa hiyo bei,fb,wasapu,insta,sema nimejaribu kuimport majina kutoka google inazingua
 
Wakuu Habari za Weekend!

Ninaimani humu ndani wapo waliokwisha nunua hizi simu, Sasa naomba kupewa hints na mimi nikanunue yangu.

Mwenye uzoefu nazo tafadhali.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimenunua T-SMART ya tigo, mpaka sasa nimegundua yafuatayo kwa simu hii:

1. Kasi yake ya internet (ukitumia wi-fi) ni nzuri, video za youtube zinacheza vizuri bila kukwama.

2. Whatsapp inafanya kazi vizuri tu, ila haisapoti document messages (doc, docx, xls, pdf e.t.c.).

3. Unaweza kuimport majina (contacts) toka google account (gmail) na kuyahifadhi kwenye simu yako. Ila kama smartphone yako inahifadhi namba kwa nafasi (mf. 0741 234 567) utalazimika kuhariri kwa kuondoa nafasi hizo (mf. 0741234567) ili uweze kufanya mawasiliano.

4. Ni simu yenye ram ndogo (512 MB), ukiibebesha mzigo mwingi (matumizi makubwa) inakuwa na tabia ya kufreeze.

5. Ina mobile hotspot (unaweza kushare internet na vifaa vingine kama pc au smartphone).

6. Ina uwezo wa remote lock/unlock na find device kama smartphone za kawaida.

7. Ni simu ya line mbili, line ya kwanza (SIM1) lazima iwe ya tigo.

8. Slot ya line ya kwanza (SIM1) ndo yenye uwezo wa H+/4G, line ya pili (SIM2) ina uwezo wa 2G tu.
 
Brother naomba msaada kama unafahamu.simu yangu ya T-SMART(TIGO), Nimenunua tigo shop, leo nimewasha imewka imeandika neno karibu to T-Smart by Tigo. imeganda hapohapo sasa sijui nafanyeje maana ipo ivoivo kutwa nzima
 
peleka kwa fundi aireset kwa computer. Baada ya hapo kapunguzie dozi ya matumizi. Kana RAM ndogo, ukikapigisha mzigo mkubwa mara kwa mara kana freeze!
 
Nimenunua T-SMART ya tigo, mpaka sasa nimegundua yafuatayo kwa simu hii:

1. Kasi yake ya internet (ukitumia wi-fi) ni nzuri, video za youtube zinacheza vizuri bila kukwama.

2. Whatsapp inafanya kazi vizuri tu, ila haisapoti document messages (doc, docx, xls, pdf e.t.c.).

3. Unaweza kuimport majina (contacts) toka google account (gmail) na kuyahifadhi kwenye simu yako. Ila kama smartphone yako inahifadhi namba kwa nafasi (mf. 0741 234 567) utalazimika kuhariri kwa kuondoa nafasi hizo (mf. 0741234567) ili uweze kufanya mawasiliano.

4. Ni simu yenye ram ndogo (512 MB), ukiibebesha mzigo mwingi (matumizi makubwa) inakuwa na tabia ya kufreeze.

5. Ina mobile hotspot (unaweza kushare internet na vifaa vingine kama pc au smartphone).

6. Ina uwezo wa remote lock/unlock na find device kama smartphone za kawaida.

7. Ni simu ya line mbili, line ya kwanza (SIM1) lazima iwe ya tigo.

8. Slot ya line ya kwanza (SIM1) ndo yenye uwezo wa H+/4G, line ya pili (SIM2) ina uwezo wa 2G tu.
No.2 siyo kweli, inaonekana huja install docx, pdf leader
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom