45% Wanawake na wasichana wamepata kazi kwa ngono hapa nchini

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
asilimia 45 ya wanawake na wasichana wafanyakazi nchini kwenye ofisi mbalimbali zikiwemo za serikali wamepata kazi hizo kwa kutoa rushwa ya ngono imeelezwa..

Source:www.mwananchi.co.tz/biashara/13-biashara-za-kitaifa/10135-45-wanawake-wasichana-wamepata-kazi-kwa-ngono
 
Walichoandika kina usahihi na kinasadifu ,kwa wale wa maofisini wataelezea kinagaubaga kuwa ni wanawake wangapi ambao wameajiriwa kwa kigezo cha elimu zao na wangapi wameajiriwa kwa kufuata jinsia na ugawaji wa ngono,utagundua ni asilimia 80 wamegawa mapenzi na 10 wameajiriwa kwa kigezo cha elimu na 10 nyingine wameajiriwa kwa kujuana,undugu,urafiki au bahati.
 
Tatizo hawa wanawake wetu ni wasiri sana watu wanaonewa kiasi hiki lakini wamenyamaza tu, sijui nao wanapata utamu .. But its so sad.. :(
 
Inasikitisha sana. Kama ni hivyo, basi tumepotea sana kimaadili.
 
tatizo unapoenda kuomba kazi wanaenda na mvuto mkubwa wa kingono kiasi kwamba mdume anayemfanyia interview yeye kama binadamu anajikuta kaangukia katika kumtongoza ima palepale au kwa kumuomba namba ya simu then anakutana nae bdae. madada waache upupu wa kutembea uchi na waache tamaa. yaani wengine inaonekana wenyewe ndio wanaenda kuwatongoza mabosi ili wakisha wakanyaga wawapatie kazi kisha magari. ebu jiulize kwa mishahara gani madadazi wetu wanamiriki magari ya kifahari?
 
Sasa unashangaa nini,ebu chungulia majukwaa ya mapenzi,mambo ya kikubwa uone michango yao.Ngono ngono tu

Sasa unafikiri mtu kama Maria Roza kwa hilo mbona nadhani kwake ni poa tu

sishangai hata kidogo,wanataka mambo ya simple simple tu hata vyuoni ni wachache wanaoangaisha vichwa,wengi ni kutegemea vya bure na kutoa viwiliwili
 
Mungu amemjalia kila kiumbe na namna ya kusavaivu...nao walichonacho ni majaliwa ya mwenyezi mungu...waacheni watumie walichojaliwa ili wapate mafanikio
 
Sasa unashangaa nini,ebu chungulia majukwaa ya mapenzi,mambo ya kikubwa uone michango yao.Ngono ngono tu

Sasa unafikiri mtu kama Maria Roza kwa hilo mbona nadhani kwake ni poa tu

sishangai hata kidogo,wanataka mambo ya simple simple tu hata vyuoni ni wachache wanaoangaisha vichwa,wengi ni kutegemea vya bure na kutoa viwiliwili

ushasema jukwaa la mapenzi, wakubwa. Unataka watu wachangie nini sasa?
Watu wanachangia kutokana na jukwaa husika.
 
Back
Top Bottom